DC Singida: Wasiopeleka watoto wa kike shule tutawachukulia hatua

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili amesema wazazi wote ambao hawatawapeleka watoto wa kike shule watachukuliwa hatua.

Akizungumza kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani yaliyofanyika kiwilaya katika mji mdogo wa Ilongero wilayani Singida, amesema kumekuwa na tabia ya wazazi na walezi kutafuta visingizio ili kukwepa kuwasomesha watoto wao.

Maadhimisho hayo yameratibiwa na Shirika la Maendeleo ya Elimu Mtinko (MEDO) mkoani humo.

Your browser is not able to display this video.

 
Tena wachukuliwe hatua kali kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…