The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Tena waliobaki ni misukule! Huyo amehongwa anaitetea cwt, ni majizi makubwa sana!Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Kapenjama Ndile amemshauri msajili wa vyama vya wafanyakazi Tanzania kutathmini upya demokrasia ya uwanzishwaji wa vyama vingi vya wafanyakazi kwa kada moja kutokana uwepo wa athari unaopelekea ushindani usio na sababu
Wilman ametoa ushauri huo katika Mkutano Mkuu wa Chama cha walimu Tanzania CWT halmashauri ya wilaya ya songea Mkoani Ruvuma uliofanyika katika ukumbi wa Anglican Songea ambapo amesema kuwa uwepo wa chama mbadala Cha walimu ambacho kinahudumia walimu wa serikali moja kinepelekea kuwa na ushindani na siyo kutetea haki na maslahi ya walimu.
Aidha Mkuu wa Wilaya huyo amesisitiza nidhamu kwa viongozi wa chama cha walimu na kuwataka kuheshimu mamlaka zilizowapa nafasi
Naye katibu wa chama cha Walimu CWT halmashauri ya wilaya ya Songea Adrian Ngairo ameishukuru Serikali kwa kupokea ombi la upandishaji wa madaraja ya walimu takribani 440 ambao wamepandishwa madaraja.
Ameongeza kuwa walimu 255 wa halmashauri ya songea wameondolewa katika chama cha walimu kwa kukukiuka sheria za chama hicho na wamebaki wanachama 1250.
View attachment 3279576
Kuja hapo kwenye kikao kakunja mshikoTena waliobaki ni misukule! Huyo amehongwa anaitetea cwt, ni majizi makubwa sana!
Wafute CWT ili wabakie kwenye hicho chama kimya ambacho hakina Makato makubwa kwenye mishahara ya walimuMkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Kapenjama Ndile amemshauri msajili wa vyama vya wafanyakazi Tanzania kutathmini upya demokrasia ya uwanzishwaji wa vyama vingi vya wafanyakazi kwa kada moja kutokana uwepo wa athari unaopelekea ushindani usio na sababu
Wilman ametoa ushauri huo katika Mkutano Mkuu wa Chama cha walimu Tanzania CWT halmashauri ya wilaya ya songea Mkoani Ruvuma uliofanyika katika ukumbi wa Anglican Songea ambapo amesema kuwa uwepo wa chama mbadala Cha walimu ambacho kinahudumia walimu wa serikali moja kinepelekea kuwa na ushindani na siyo kutetea haki na maslahi ya walimu.
Aidha Mkuu wa Wilaya huyo amesisitiza nidhamu kwa viongozi wa chama cha walimu na kuwataka kuheshimu mamlaka zilizowapa nafasi
Naye katibu wa chama cha Walimu CWT halmashauri ya wilaya ya Songea Adrian Ngairo ameishukuru Serikali kwa kupokea ombi la upandishaji wa madaraja ya walimu takribani 440 ambao wamepandishwa madaraja.
Ameongeza kuwa walimu 255 wa halmashauri ya songea wameondolewa katika chama cha walimu kwa kukukiuka sheria za chama hicho na wamebaki wanachama 1250.
View attachment 3279576
Huyu mkuu wa wilaya ni mjinga kwa sababu anadhani anaweza kuwapangia waalim waishije. Hiyo ilikuwa ni zamani, sasa tunaelekea kwenye uhuru wa watu kuamua na kuchagua waishije na wawe na viongozi gani.Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Kapenjama Ndile amemshauri msajili wa vyama vya wafanyakazi Tanzania kutathmini upya demokrasia ya uwanzishwaji wa vyama vingi vya wafanyakazi kwa kada moja kutokana uwepo wa athari unaopelekea ushindani usio na sababu
Wilman ametoa ushauri huo katika Mkutano Mkuu wa Chama cha walimu Tanzania CWT halmashauri ya wilaya ya songea Mkoani Ruvuma uliofanyika katika ukumbi wa Anglican Songea ambapo amesema kuwa uwepo wa chama mbadala Cha walimu ambacho kinahudumia walimu wa serikali moja kinepelekea kuwa na ushindani na siyo kutetea haki na maslahi ya walimu.
Aidha Mkuu wa Wilaya huyo amesisitiza nidhamu kwa viongozi wa chama cha walimu na kuwataka kuheshimu mamlaka zilizowapa nafasi
Naye katibu wa chama cha Walimu CWT halmashauri ya wilaya ya Songea Adrian Ngairo ameishukuru Serikali kwa kupokea ombi la upandishaji wa madaraja ya walimu takribani 440 ambao wamepandishwa madaraja.
Ameongeza kuwa walimu 255 wa halmashauri ya songea wameondolewa katika chama cha walimu kwa kukukiuka sheria za chama hicho na wamebaki wanachama 1250.
View attachment 3279576
Unashukuru kupewa haki yako nosenseMkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Kapenjama Ndile amemshauri msajili wa vyama vya wafanyakazi Tanzania kutathmini upya demokrasia ya uwanzishwaji wa vyama vingi vya wafanyakazi kwa kada moja kutokana uwepo wa athari unaopelekea ushindani usio na sababu
Wilman ametoa ushauri huo katika Mkutano Mkuu wa Chama cha walimu Tanzania CWT halmashauri ya wilaya ya songea Mkoani Ruvuma uliofanyika katika ukumbi wa Anglican Songea ambapo amesema kuwa uwepo wa chama mbadala Cha walimu ambacho kinahudumia walimu wa serikali moja kinepelekea kuwa na ushindani na siyo kutetea haki na maslahi ya walimu.
Aidha Mkuu wa Wilaya huyo amesisitiza nidhamu kwa viongozi wa chama cha walimu na kuwataka kuheshimu mamlaka zilizowapa nafasi
Naye katibu wa chama cha Walimu CWT halmashauri ya wilaya ya Songea Adrian Ngairo ameishukuru Serikali kwa kupokea ombi la upandishaji wa madaraja ya walimu takribani 440 ambao wamepandishwa madaraja.
Ameongeza kuwa walimu 255 wa halmashauri ya songea wameondolewa katika chama cha walimu kwa kukukiuka sheria za chama hicho na wamebaki wanachama 1250.
View attachment 3279576
Jizi hiloTena waliobaki ni misukule! Huyo amehongwa anaitetea cwt, ni majizi makubwa sana!
Jizi hilo linaogopa chakamwata limeshakunja chake mapemaMbona Kuna vyama vya siasa 19, vinahudumia watanzania wote waliopo kwenye serikali Moja!