Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida pia ni sisi wenyewe kuwa waoga wa kuwashtaki tunapokamatwa bila kosa. Kwa nini tusifungue kesi za madai dhidi ya 'false imprisonment' (kushikiliwa kusikofuata sheria)?Siungi mkono haya mambo ya kupiga picha na fedha, ila sasa wakamatwe kwa kosa gani? Pesa yangu nimeitoa bank nikapiga nayo picha wakati nikienda fanya nilichokusudia sasa unikamate kwa kosa gani? Haya masuala ya viongozi kutoa matamko ambayo hata hayaendani na sheria na polisi wakayatekeleza yamekuwa mazoea tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anapakuliwa au anapakua, au wanapakuana?Nimepata za uvunguni udugu wangu, DC anapakuana na msanii mmoja wa wasafi...mdomo koma ,
Pesa si wanayo bana, Walipe direct Tax tujenge fly over Jangwani.Walipe kodi gani?
Hii nchi ina majuha wengi sana.
hahah Homeboy miyeyusho.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anatudhalilisha wakunyumbaa huyu Mgosi, khaaah
Anapakuliwa na vivan boi 🙌🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anapakuliwa au anapakua, au wanapakuana?
Em sema uduguuu.
Hizo zote ni nongwa za kimasikini tu.Wanachakaza pesa kwa kuzishikashika.
Pesa hutunzwa bank sio nyumbani maana wanahatarisha maisha yao
Pili wanasababisha sonona kwa wasio na hela kujiona masikini hivyo kupelekea kujinyonga au kufa kwa stress.
Naoendekeza adhabu kali kwa wahusika.
Kwa hiyo hakuna sheria ya kiasi cha pesa kutunzwa benki au nyumbani? Badi linchi lenu la ovyoHizo zote ni nongwa za kimasikini tu.
Nimeukiza sheria gani inatumika, mpaka sasa sijapewa.
Hakuna nchi ya kidemokrasia inayomlazimisha mtu kuweka pesa benki.Kwa hiyo hakuna sheria ya kiasi cha pesa kutunzwa benki au nyumbani? Badi linchi lenu la ovyo
atakuwa anamtafuta chief GodloveHuyo DC Itakuwa ana shida pahala
Na temeke hakuna wafanya biashara wenye hela kam kinondoni huko mateja tu [emoji16][emoji16]Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amelagiza Jeshi la Polisi la Wilaya ya Temeke kukamata Watu wote ndani ya Wilaya hiyo ambao wanapiga picha na kujirekodi video wakiwa na hela kwenye mitandao ya kijamii waseme hizo hela wametoa wapi na kodi wamelipa kiasi gani.
Amesema "Mtu akipiga picha na mahela mengi kuonesha maisha ni rahisi namna hii kama ni wa Temeke kamata, hakuna hela uliyoitolea jasho ina majigambo, hela uliyotolea jasho inafichwa kama ambavyo Mtu hasemi nimepata mshahara"
Amesema hayo Julai 10, 2024 akiongea na wakazi wa Mbagala juu ya mmomonyoko wa maadili na matukio ya kiuhalifu. Akisistiza kuwa wanaopost za hela huwashawishi vijana kujihusisha na madawa ya kulevya au ushirikina.
Mapema SanaSixtus Mapunda kishalewa madaraka