kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Rudia kusoma nilichoandika sijagusa sheria!Wanavunja sheria gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudia kusoma nilichoandika sijagusa sheria!Wanavunja sheria gani?
wewe mwishowako ushaonekana au but ado?Ngoja tuone mwisho wako
Mengine ni amri kwa mkeoMkubwa akishasema ni amri
Typical banana republic stuff!Wakamatwe kwa sheria gani?
Na wewe unataka kujipost na minoti?Hata hiyo hela ya kupiga nayo picha iko wapi ?
Nyuzi zimeunganishwa na moderator.wee kiherehere mwenzio kaleta uzi nawewe unaleta😕😕
mrembo kiherehere wewe😁😁😁😁
Naliona lile dogo la nyanda za juu kusini limenuna🤣Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amelagiza Jeshi la Polisi la Wilaya ya Temeke kukamata Watu wote ndani ya Wilaya hiyo ambao wanapiga picha na kujirekodi video wakiwa na hela kwenye mitandao ya kijamii waseme hizo hela wametoa wapi na kodi wamelipa kiasi gani.
Amesema "Mtu akipiga picha na mahela mengi kuonesha maisha ni rahisi namna hii kama ni wa Temeke kamata, hakuna hela uliyoitolea jasho ina majigambo, hela uliyotolea jasho inafichwa kama ambavyo Mtu hasemi nimepata mshahara"
Amesema hayo Julai 10, 2024 akiongea na wakazi wa Mbagala juu ya mmomonyoko wa maadili na matukio ya kiuhalifu. Akisistiza kuwa wanaopost za hela huwashawishi vijana kujihusisha na madawa ya kulevya au ushirikina.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu huyu DC Wakunyumbaa!! Ananiangushaa ujue, LolKwa sheria ipi?
Kuna sheria yoyote inayonizuia nisirekodi maokoto yangu??
DC acha wivu na gubu, tunajua una hasira za kunyimwa kinyeo na demu wako, hebu utuache tutambe na maokoto yetu, wee veeepeee!
Alaaah!
Yohimbe bark min -me dronedrake Poor Brain Mzee wa kupambania cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anatudhalilisha wakunyumbaa huyu Mgosi, khaaahFedheha kwa wangoni hii. Hatujamtuma asee.
Sheria ya mlipa kodi....ukituonyesha pesa...utuambie kodi umelipa kiasi gani kwa biashara ipi....very simpleKwa sheria ipi?
Kuna sheria yoyote inayonizuia nisirekodi maokoto yangu??
DC acha wivu na gubu, tunajua una hasira za kunyimwa kinyeo na demu wako, hebu utuache tutambe na maokoto yetu, wee veeepeee!
Alaaah!
Yohimbe bark min -me dronedrake Poor Brain Mzee wa kupambania cocastic
Njitu kama hizi haziwezi elewa kituWatu masikini wakipewa madaraka ndivyo wanavyoliactigi hivyo..
Kuna vaadhi ya nchi ni marufuku kwa kapuku kupewa madaraka..!
(ML) Money Laundering Act na sheria ya kodi kuna kitengo kipo pia cha (FIU) Financial Intelligence Unit wana mamlaka kisheria kuuliza umetoa wapi pesa. Maelezo lazima yanyooke. Lazima utuonyeshe biashara yako pia lazima utuambie kama kodi umelipa. Watanzania wengi akili hawana. Na uelewa ni finyu kama ww bwisyeHiki cheo kitafutiwe kazi maalumu ya kueleweka.
Au kifutwe kabisa.
Sasa unamkamata mtu kakiuka sheria gani?
Halafu anasema eti hela inatakiwa ifichwe ,
Ndio huko CCM mnavyofundishana?