DC Temeke: Mtu akipiga Picha na hela akamatwe

Shida pia ni sisi wenyewe kuwa waoga wa kuwashtaki tunapokamatwa bila kosa. Kwa nini tusifungue kesi za madai dhidi ya 'false imprisonment' (kushikiliwa kusikofuata sheria)?
 
Naungana na dc temeke kuna watu wakishapata tu kidogo wanawaona wenzao hawana kama washamba fulani hivi kwa kuwa hawajafanikiwa.

Muda wote mitandaoni na hela kuwaringishia watu na baadhi ya watu wanaona maisha ni raising tu yan kuwa chawa tu napata hela zile ?? Ndio maana watu hwaajitumi coz wanaona nikimsifia mtu fulani ntapata hela ya bure.

Kwa mfano yule mpuuzi chief godlove anajianika kabisa na mahela anadai ni freemason anaelekeza watu kupata hela za masharti !!! Huuu ni upuuzi ndugu zangu na serikali inamuacha tu yule mpumbavu anaharibu kizazi kisaikolojia

Kuna hawa wakina mwijaku ,baba levo,dotto magari hawa sio watu wakuchekewa lakin ndio kwanza wanapata airtime ya kutosha katika media.

Na watanzania sio watu serious wanacheka cheka muda wote. Taifa linaangamia kwa upumbavu cha kuruhusu uhuru wa vyombo vya habar

Tutakukumbuka magufuli
 
Tulipofika sasa matamko nayo ni sheria mtu anashauriana na mkewe kitandani kesho asubuhi anaropoka tu
 
Mtu atapiga picha kwa makusudi huko Temeke utamkamata, na kufikishana mpaka mahakamani, sasa sijui mbele ya sheria dc hapo utashinda hiyo kesi kwa hoja zipi
 
Wanachakaza pesa kwa kuzishikashika.
Pesa hutunzwa bank sio nyumbani maana wanahatarisha maisha yao
Pili wanasababisha sonona kwa wasio na hela kujiona masikini hivyo kupelekea kujinyonga au kufa kwa stress.
Naoendekeza adhabu kali kwa wahusika.
Hizo zote ni nongwa za kimasikini tu.

Nimeukiza sheria gani inatumika, mpaka sasa sijapewa.
 
Hizo zote ni nongwa za kimasikini tu.

Nimeukiza sheria gani inatumika, mpaka sasa sijapewa.
Kwa hiyo hakuna sheria ya kiasi cha pesa kutunzwa benki au nyumbani? Badi linchi lenu la ovyo
 
Kwa hiyo hakuna sheria ya kiasi cha pesa kutunzwa benki au nyumbani? Badi linchi lenu la ovyo
Hakuna nchi ya kidemokrasia inayomlazimisha mtu kuweka pesa benki.

Kama unafikiri kuna hiyo sheria, kutoka nchi yoyote ya kidemokrasia, iweke hapa.
 
Hizi nafasi ziwe na mitihani na mafunzo maalum ya sheria, katiba na uraia, napendekeza pass mark iwe 90%
 
Na temeke hakuna wafanya biashara wenye hela kam kinondoni huko mateja tu [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…