DC wa Hai Ole Sabaya akiachwa, basi mjue kuna tatizo kubwa huko mbele

.
 
Ile dharau aliyomuonesha Mkuu wa Mkoa, akiachwa serikalini mjue tunaeleke kubaya! Time will tell! Inavyoonekana mama anaogopa kuwagusa waliokuwa wapendwa wa Jiwe. Na ndio walikuwa watesaji, wauaji, majambazi etc etc
Ushauri wako upeleke kwako, yaani wewe ukimchukia sabaya unataka kila mtu amchukie?

Au wewe ndi ulitaka kumnyanganya yule bibi shamba?
 
You will be surprised how these people survive. Hopefully they get rid of him sooner rather than latter.
 
Huyo Mungu ameshamalizana naye bado hawa vidagaa wake
 
Duuuh Sabaya Sabaya Sabaya
Sabaya maisha ya staili hii yana mwisho, tubu hizi dhambi Sabaya, utapata mwisho mbaya sana usipotubu
Unajikuta Mungu mtu kisa kuwa DC??
 
Sabaya ni mkuu wa wilaya ya Hai, alienda kufanya nini Arusha? Mkuu wa Wilaya moja anaweza kwenda kufanya operation katika mkoa mwingine au wilaya tofauti na yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…