DC wa Hai Ole Sabaya akiachwa, basi mjue kuna tatizo kubwa huko mbele

Bashite alisafiri na Cyprian Musiba, Le mutuz, Herry kisanduku , Nyaulingo kwenda kumshambulia Tundu lisu Dodoma kwa risasi huku wakimteka MO, msanii Roma na matukio mengine mengi
Binafsi nilidhani uongo na uzushi na uzandiki viliondoka na TOBO wakati anakimbia nchi baada ya USHINDI WA KISHINDO WA JPM NA CCM, kumbe bado wapambe wapo wanaendeleza na kuendekeza hayo! Suala la kipigo cha risasi za ndege za TOBO liliisha baada! Msililete tena kwani unajua ukweli wake na mkitaka tutalisema hadharani kweupe!
 
Nimeona hii video clip na kupata maswali mengi sana akilini mwangu. Body language ya huyo DC inajieleza... ana overconfidence! Anavua mawani yake na kumbeza RC.

Swali kuu ninalojiuliza, how comes DC arrogant kiasi hicho anaendelea kukalia kiti cha kuongoza wilaya?

Kwanini amdharau RC publicly kiasi hicho?

Au anamdharau kwavile RC ni mwanamke?

Kama hawezi kumheshimu RC, ataweza kumheshimu mwananchi wa kawaida ambaye ndiye mpiga kura wa mwajiri wake?

Hivi hawa baadhi ya maDC, hizi dharau na jeuri wanazitoa wapi?

Endapo wanadhania hizo nafasi walizokalia watadumu nazo milele, they are very wrong chini ya jua!

Now they should get prepared psychologically and expect the unexpected.

Nimejaribu kuvaa viatu vya RC mama Mghwira kwenye video hiyo nimeumia sana.

-Kaveli-
 
Iko wapi hiyo video?? Au chuki zako tu binafsi??. Bila video ni umbea tuu kama umbea mwingine
 
View attachment 1746838

Nimeona hii video clip na kupata maswali mengi sana akilini mwangu. Body language ya huyo DC inajieleza... ana overconfidence! Anavua mawani yake na kumbeza RC.

Swali kuu ninalojiuliza, how comes DC arrogant kiasi hicho anaendelea kukalia kiti cha kuongoza wilaya?

Kwanini amdharau RC publicly kiasi hicho?

Au anamdharau kwavile RC ni mwanamke?

Kama hawezi kumheshimu RC, ataweza kumheshimu mwananchi wa kawaida ambaye ndiye mpiga kura wa mwajiri wake?

Hivi hawa baadhi ya maDC, hizi dharau na jeuri wanazitoa wapi?

Endapo wanadhania hizo nafasi walizokalia watadumu nazo milele, they are very wrong chini ya jua!

Now they should get prepared psychologically and expect the unexpected.

Nimejaribu kuvaa viatu vya RC mama Mghwira kwenye video hiyo nimeumia sana.

-Kaveli-
Sasa mlitaka morani Sabaya afanyeje?kama watu waliwekwa ndani kwa kuonewa kwanini hawakwenda kushitaki?kwanini Takukuru haijachunguza?na huyu RC yeye ndie mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama,kwanini hakulishughurikia Hili?
 
Unatetea ujinga.

-Kaveli-
 
Hivi huyu ndiyo DC aliyechapa watu viboko huko Wilayani kwake?

-Kaveli-
Sio tu kuchapa viboko, aliwahi kuzusha kuna mmiliki wa mabasi anahujumu miundombinu ya reli, akaamuru akamatwe.. Badae polisi wakagundua ni uzushi, jamaa akaachiwa..

Hii ilikua mbinu yake pale aliootaka kupiga mtu hela kwa lazima..

Ni jambazi fulani anayetumia cheo chake kuibia watu.
 
Back
Top Bottom