CHIEF MASALAKULANGWA
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 794
- 664
Binafsi nilidhani uongo na uzushi na uzandiki viliondoka na TOBO wakati anakimbia nchi baada ya USHINDI WA KISHINDO WA JPM NA CCM, kumbe bado wapambe wapo wanaendeleza na kuendekeza hayo! Suala la kipigo cha risasi za ndege za TOBO liliisha baada! Msililete tena kwani unajua ukweli wake na mkitaka tutalisema hadharani kweupe!Bashite alisafiri na Cyprian Musiba, Le mutuz, Herry kisanduku , Nyaulingo kwenda kumshambulia Tundu lisu Dodoma kwa risasi huku wakimteka MO, msanii Roma na matukio mengine mengi
Sasa mlitaka morani Sabaya afanyeje?kama watu waliwekwa ndani kwa kuonewa kwanini hawakwenda kushitaki?kwanini Takukuru haijachunguza?na huyu RC yeye ndie mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama,kwanini hakulishughurikia Hili?View attachment 1746838
Nimeona hii video clip na kupata maswali mengi sana akilini mwangu. Body language ya huyo DC inajieleza... ana overconfidence! Anavua mawani yake na kumbeza RC.
Swali kuu ninalojiuliza, how comes DC arrogant kiasi hicho anaendelea kukalia kiti cha kuongoza wilaya?
Kwanini amdharau RC publicly kiasi hicho?
Au anamdharau kwavile RC ni mwanamke?
Kama hawezi kumheshimu RC, ataweza kumheshimu mwananchi wa kawaida ambaye ndiye mpiga kura wa mwajiri wake?
Hivi hawa baadhi ya maDC, hizi dharau na jeuri wanazitoa wapi?
Endapo wanadhania hizo nafasi walizokalia watadumu nazo milele, they are very wrong chini ya jua!
Now they should get prepared psychologically and expect the unexpected.
Nimejaribu kuvaa viatu vya RC mama Mghwira kwenye video hiyo nimeumia sana.
-Kaveli-
Iko wapi hiyo video?? Au chuki zako tu binafsi??. Bila video ni umbea tuu kama umbea mwingine
Duhh... Alafu akamkebehi kwa kicheko cha kuguna..
Aisee huyu kaoza.. Hafaiii...
Sasa mlitaka morani Sabaya afanyeje?kama watu waliwekwa ndani kwa kuonewa kwanini hawakwenda kushitaki?kwanini Takukuru haijachunguza?na huyu RC yeye ndie mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama,kwanini hakulishughurikia Hili?
Moja ya DC wa hovyo ni huyu...
Sio tu kuchapa viboko, aliwahi kuzusha kuna mmiliki wa mabasi anahujumu miundombinu ya reli, akaamuru akamatwe.. Badae polisi wakagundua ni uzushi, jamaa akaachiwa..Hivi huyu ndiyo DC aliyechapa watu viboko huko Wilayani kwake?
-Kaveli-
Hujaona attachment hapo au ndo uzuzu umekujaaa.... Wauwaji nyieIko wapi hiyo video?? Au chuki zako tu binafsi??. Bila video ni umbea tuu kama umbea mwingine