DC wa Hai Ole Sabaya akiachwa, basi mjue kuna tatizo kubwa huko mbele


Ajiandae kujiajiri.

-Kaveli-
 
Alikuwa untouchable, saa hizi hana chake tena.
Ajiandae kuchunga ng'ombe za mzee Sabaya
 
Mshana leta habari
Sorry nilikosea nilitaka kuweka hii

 
Ile dharau aliyomuonesha Mkuu wa Mkoa, akiachwa serikalini mjue tunaeleke kubaya! Time will tell! Inavyoonekana mama anaogopa kuwagusa waliokuwa wapendwa wa Jiwe.

Na ndio walikuwa watesaji, wauaji, majambazi etc etc.


Miongoni mwa vitu vilivyochangia anguko la Sabaya ni dharau kwa wanawake
 
ujambazi wa hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…