DC wa Iringa, Richard Kasesela ameomba radhi kwa picha zinazomuonyesha akiwa ameshikilia viungo bandia vya uume

DC wa Iringa, Richard Kasesela ameomba radhi kwa picha zinazomuonyesha akiwa ameshikilia viungo bandia vya uume

Hivi wewe una uvimbe kichwani? Kwani Lazima upokee samahani yake? Kaa na Lichadema lako linakiongozi mmoja kama mama yako
Well, mama yangu hakunifundisha kutukana. Naamini hata mama yako ni muungwana na hawezi kufurahi akiona hiki ulichokiandika hapa!

Pili, sina uhusiano wowote na CHADEMA (japo sio dhambi kua mwanaCHADEMA). Sioni uhusiano wa nilichokiandika na CHADEMA.

Mwisho, napenda kukuomba radhi. Sikujua kama utachukia kiasi hiki sababu tu nimehoji kitu kidogo namna hiyo!

Adios Amigo!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Msamehe bure huyo mdada akiwa kwenye heat ndivyo alivyo.
 
Afadhali angenyamaza.
Kitendo cha kuomba radhi amezidi kusambaza.
 
Sasa viwanda vya haya madude vya nini? Oooh sorry kumbe tupo kwenye Tz ya viwanda! Heko Mh. Dc umependeza na hayo 'madudu'!
 
Haaa haa.. Ila MaCCM ni masenge sana mjue, nimecheka mpaka basi.
 
Mwingine alijitapa HADHARANI kuwa TAJIRIMOJA TU ALIWAHI KUINGIA CHUMBANI KWAKE JAPO HAKUELEZA ALIINGIA KWA SHIDA GANI?

HUYU NAYE KAKAMATIA NYETI, Wenzetu hatuwaelewi mnakotupeleka
 
Richard naona ndiyo kazi yako yakujifyolea nyuma haya tipwatipwa
 
Tumekuelewa Atufigwegwe, wewe ni muungwana ndio maana umeomba radhi.
 
Uku happy uku Dc,dah,,! mji wa iringa nao ushakua mzito,
 
Hivi wewe una uvimbe kichwani? Kwani Lazima upokee samahani yake? Kaa na Lichadema lako linakiongozi mmoja kama mama yako
We @masudically acha upimbically,yeye kilichomfanya ayashike hayo madude huku anayafurahia nani?

Je yeye ndiye aliyekuwa muelimisha rika?tatizo kujipendekeza kuna siku atapiga picture ameshika vitu vya ajabu zaidi ya hiki.
 
Ameyafurahia lazima alienda chemba akalamba haya madyde maana amelegeza mdomo balaa.
 
Back
Top Bottom