Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ashike shike tu, wameshaombana msamaha yameisha, nini tenaMadude ameyashika yeye, sisi anatuomba radhi kwa lipi?
Well, mama yangu hakunifundisha kutukana. Naamini hata mama yako ni muungwana na hawezi kufurahi akiona hiki ulichokiandika hapa!Hivi wewe una uvimbe kichwani? Kwani Lazima upokee samahani yake? Kaa na Lichadema lako linakiongozi mmoja kama mama yako
Msamehe bure huyo mdada akiwa kwenye heat ndivyo alivyo.Well, mama yangu hakunifundisha kutukana. Naamini hata mama yako ni muungwana na hawezi kufurahi akiona hiki ulichokiandika hapa!
Pili, sina uhusiano wowote na CHADEMA (japo sio dhambi kua mwanaCHADEMA). Sioni uhusiano wa nilichokiandika na CHADEMA.
Mwisho, napenda kukuomba radhi. Sikujua kama utachukia kiasi hiki sababu tu nimehoji kitu kidogo namna hiyo!
Adios Amigo!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Si ndiyo hapoMadude ameyashika yeye, sisi anatuomba radhi kwa lipi?
Hahah kavishika kwa bashashaLkn naona viungo hvyo vimemkosha maana anafurah kwelikweli. Astakhafilulah
We @masudically acha upimbically,yeye kilichomfanya ayashike hayo madude huku anayafurahia nani?Hivi wewe una uvimbe kichwani? Kwani Lazima upokee samahani yake? Kaa na Lichadema lako linakiongozi mmoja kama mama yako