GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani unahojiwa na Radio One kupitia Mtangazaji wao Godfrey Monyo kuhusu Kukosekana kwa Maji Wilaya anayoishi GENTAMYCINE ya Kinondoni badala ya Kujibu Kiufasaha na Kiutaalam Wewe unaanza Kujibu Kisiasa Kisiasa huku muda wote ukibabaika babaika tu.
Godwin Gondwe ( DC Kinondoni ) nakufahamu vyema kama mwana Tasnia na Mhadhiri mzuri sana na Kichwani uko vyema mno ( Intelligent ) ila nashangaa tokea uteuliwe huko Serikalini ile IQ yako Kubwa ninayoiheshimu siioni tena.
Yaani 'Intellectual' kama Wewe Kamarada ( Comrade ) wangu DC Kinondoni Godwin Gondwe unaamini kuwa huu Uhaba wa Maji uliosababisha huu Mgawo wa Maji unatokana na Ukame wa Maji kule Mto Ruvu Mkoani Pwani?
DC Gondwe unaniangusha mno tu!!!