Pre GE2025 DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yanayofanyika sirini yabaki sirini. Hata kwenye vyama vya upinzani kuna ya sirini yanafanyika na hayatakiwi kusemwa.
Ikitokea mmoja anasema ya sirini huyo sio mmoja kati ya wahitajika sirini, lazima aliwe kichwa.

This is how system works!
Hakuna siri ya zaidi ya mtu mmoja.Ukweli utajitokeza tu haijalishi utachukua miaka mingapi.ni swala la muda tu.
 
Yanayofanyika sirini yabaki sirini. Hata kwenye vyama vya upinzani kuna ya sirini yanafanyika na hayatakiwi kusemwa.
Ikitokea mmoja anasema ya sirini huyo sio mmoja kati ya wahitajika sirini, lazima aliwe kichwa.

This is how system works!
siku zinakuja na siku zimefika yanayofanyika sirini yatahubiriwa juu ya jukwaa
 
Back
Top Bottom