DC wa Pangani atupia tattoo ya mumewe mubashara

DC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi.

Unampa asilimia ngapi DC wa Pangani kwa tattoo hiiView attachment 2714611
Msura wake tu unaonesha halina akili!! Hizi takataka eti ndizo zinamwakilisha rais ptuuh!
 
Huo ni uumbaji wa Mungu



Nawashangaa wanaokosoa uumbaji wa Mwenyezi Mungu,

Kwa hiyo wanamsuta Mungu?

Mkosoeni kitu kingine lakini alichomuumba Mungu sio Sawa,

Kwani yeye kajiumba mwenyewe?!

Halafu JF Kwani sometimes kuna watu wanakuwaje?’!

Kuna watu hawawezi kupumua kawaida wanaumwa iwapo yeye Pua yake alovyomuumba Mungu inamuwezesha kupumua kawaida mbona pambe tu [emoji108]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…