DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

Sheria inasema hivyo,sawa,nioneshe katika madai ya Jamuhuri ni lipi linasufficient evidence ambayo the accused asipoleta utetezi linaweza kumtia hatiani? Sioni vikao vya kula njama,sioni vilipuzi,sioni vifaa vya kukatia miti,sioni pesa iliyotengwa kwa ajili ya operation maeneo kadhaa inavyodaiwa.Pesa kichele iliyotumwa ni nauli,kununua nguo na kula.
 
Comte ana ujauzito wa mbowe harafu umekataliwa so hataki mbowe awe uraiani kwa sababu ya chuki zake.

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu
kwanza serikali haina hiyo habari ya faida na hasara ndiyo maana iliwakopesha nyie msome lakini leo mnaitukana humu;
Pili kama kweli ushahidi uliotolewa na serikali ni dhaifu mnaogopa nini kujitetea dhidi ya ushahidi dhaifu?
 
Akili za sisiemu mnazijua au mnazisikia...

Tusubiri tar18 feb, 2022... Jaji atakuja na sarakasi na atashangaza wengi sana.
MAZINGAOMBWE ni kawaida yao wana MAGUFULEGACY, ila baada ya kuanikwa kisawasawa wimbi la kuwachoka lishaanza kupambana nao.
 
Legal language sijui ni kwanini inakuwaga ngumu kueleweka kirahisi...

May be because, it doesn't strictly follow the grammatical rules...

Mfano kuna sehemu nimesoma na kuona imeandikwa;

"to found" badala ya "to find". Nikadhani imekosewa lakini the fact is that hakuna kosa hapo, ni legal language hiyo...!!

Hapa wengine hawajaelewa kwa hakika..

Ikiiwezekana, jaribu kuweka version ya kiswahili ya kifungu hiki cha sheria nadhani itakuwa CPA....
 
Jidanganye!
.
Mbowe anakula mvua 30 na hamna kitu mtafanya
Yaonekana kama vile una nadhiri na shetani.
Usipotubu na kumkana huyo shetani hautapata amani moyoni mwako bali utaendelea kusumbuka sana kwa kutamani, karaha iwafike wengine. Ninakuombea uhai ili uje kushuhudia wasio hatia wakishinda. AMEN
 
DCI ameona atadhalilika mahakamani ilitakiwa aitwe kwanguvu akachambuliwe na kibatala!! Lazima angeumwa na kudraivu hovyohovyo!!
Nisahihi nibora asiende akaekimya tuhisi hamnahamna kuliko aende akaongee tuthibitishe hamna kabisaaaa!!!
 
Na mwona kwenye mawazo akiwa anaomba kuwahishwa Isiiiyuuu, ingekuwa nafuu ya wale wa washroon
Familia ilibidi imkataze mzee asithubutu kutoka hapo nyumbani,
In short familia ya Boaz inafatilia mwenendo wa kesi imebidi wamkataze waliona dalili ya mzee wao kutapishwa damu kizimbani na kuaibisha ukoo.
 
Umewaza vema ila umekataa kusema lengo kuu la kuandaliwa kwa kesi hii.
Wengine tumeunganisha dots na kubaini kuwa lengo ni kuzuia harakati za kudai Katiba mpya,kuifuta CHADEMA baada ya kubainika pasina shaka kwamba hakifi kirahisi na pia watu kutafuta prestige.
Hoja ya Katiba mpya ipo pale pale,kuwe na kesi ya kujibu ama la.
 
Familia ilibidi imkataze mzee asithubutu kutoka hapo nyumbani,
In short familia ya Boaz inafatilia mwenendo wa kesi imebidi wamkataze waliona dalili ya mzee wao kutapishwa damu kizimbani na kuaibisha ukoo.
Hata kama siyo kwenda kuhara,kurudia kuingia washroom kila baada ya nusu saa ni jambo linalotweza utu wa binadamu.
Afande Swila amevumiliaje?Mbele ya kadamnasi
iliyopo mahakamani unakimbia hata kabla ya ruhusa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…