DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

DCI Boaz vipi, Mbona amekimbia kesi ya Mbowe?

alitakiwa kuieleza mahakama ni kwa Nini alikubali mpango wa kuharibia maisha makomandoo watatu ambao walikuwa na kazi zao, warubuniwe na Urio kwamba Kuna kazi ya ulinzi VIP kumbe wanatumbukizwa shimoni na kubambikiwa ugaidi, kifupi bila Boaz kutoa ushahidi muunganiko wa kesi nzima unakosekana.
Na ingetokea akawa sehemu ya mashahidi, nafikiri yeye angekuwa anaomba awahishwe isiiuuu 🚑na SII washroom kama yule wa12 ba13🤸.
 
Kufungwa kwa kesi upande wa mashtaka ni fursa kwa Mbowe na wenzake kujitetea ili tuwasikie kisha tuone haki inatendeka
Inaweza isifike hatua ya Mbowe na wenzake kujitetea kama mahakama (judge) itaona hakuna kesi ya kujibu. Kitu ambacho kiko very likely kutokea siku ya Ijumaa 18/02/2022. Hifadhi maneno yangu.

DCI mstaafu, CP Robert Boaz ndiye mtu wa kwanza kupokea taarifa kutoka kwa Lut Deus Leo Urio (kulingana na ushahidi wa Urio), huyu alikua mtu wa muhimu sana kuja mahakamani kuthibitisha taarifa zote za Urio kwenda kwake DCI. Huyu ndiye aliyemfikishia taarifa hizi ACP Ramadhan Kingai (kulingana na ushahidi uliokwisha kutolewa). Huyu ndiye alitoa maelekezo kwamba Lut Urio awe anaendelea kuwasiliana na watuhumiwa na kumpatia taarifa ACP Kinngai. Robert Boaz alikua ni mtu muhimu kukamilisha ushahidi wa kumfunga Mbowe na wenzake, lakini ushahidi wake tumeukosa. Bado unaweza kujenga hoja kwamba kuna watu watakua na kesi ya kujibu??

Mkuu, kuwa na mahaba ya kiasi.
 
Ameishapewa maelekezo afute hiyo kesi!! Hiyo tarehe 18/2/22 ndio mwisho wake.
Hata ushahidi wenyewe unaifuta kesi, ndiyo maana wameshindwa kumleta shahidi mkuu Robert Boaz.
 
Hii kesi walilazimisha kuipeleka mahakamani na mbaya zaidi wakaipa UGAIDI, ni afadhali wangeipa iwe ya uchochezi - kuchochea watu wasifanye kazi badala yake wahudhurie makongamano ya katiba mpya ambayo na yenyewe haina kibali cha mikusanyiko.
 
Hahahaaaa....... Wapi nimesema na ushahidi wake umestaafu.

Kuna baadhi ya kazi ukishastaafu hautatamani tena kuhusishwa kwa loote zaidi ya kutubu na kuokoka!
Nadhani naye kwa hii kesi atubu na kuokoka kwa kuwatesa vijana kwa kipindi chote hicho, ukiacha Mbowe aliyekamatwa mwaka jana. Amewaharibia vijana future yao kwa mambo ambayo ni political related (from Lengai Ole Sabaya to Kingai and then to Boaz). Hawa kina Swila and the likes, wameingizwa kwenye jambo ambalo hata walikua hawalijui.

Subiri kesi ikiisha, kuna mengi yaliyojificha yatajulikana.
 
duh!
we jamaa ni fala sana
hivi unakumbuka kesi ya uhamsho ilivyokula hela nyingi zaidi ya miaka 8 na ule ulinzi ulivyokuwa?
Mwisho niambie hii kesi iliisha vp?
Kuna wengine ukiweza hata hakuna haja ya kuwajibu. Hawana uwezo wa kufikiri kwa level ya hii kesi.
 
Hahahaaaa....... Wapi nimesema na ushahidi wake umestaafu.

Kuna baadhi ya kazi ukishastaafu hautatamani tena kuhusishwa kwa loote zaidi ya kutubu na kuokoka!
Rais Mtaafu marehemu Benjamin Mkapa alishahidia akiwa amestaafu. Sembuse hao wanaojinyonga Kwa dekio? Aibu imekuwa kubwa mno Bora wafunge ushahidi.
 
boaz kala kona, angeomba kwenda haja na yeye kama kingai, hivi kingai ana akili gani ya kumuingiza king IGP na DCI? kweli hatuna jeshi la polisi
 
Walio frame hii case wote hawana akili

Jeshi la polisi ndo mana wanaajiriwa wenye akili ndogo
 
Back
Top Bottom