TANZIA DCI wa zamani, Robert Manumba afariki dunia

TANZIA DCI wa zamani, Robert Manumba afariki dunia

Bora angekufa yule babu anayetaka wazazi wachague watoto wa kuwazaa na wasiwe kama yule mwanachama wa CCM
 
Binadamu wote tuna dhambi ila hawa Watu hawa ?

MwenyeziMungu aturehemu
 
nawewe ujifunze kwamba hata makatili wanazeeka pia,sio utia huruma muda wote

nawewe ujifunze kwamba hata makatili wanazeeka pia,sio utia huruma muda wote.
Je huyo katili anajua kama kuna uzee na fainali yake chini ardhi?

Nakuoa somo... Tenda mema hata kama kazi yako inakusukuma ufanye ubaya wewe toa haki..
Mwanadamu anatokana na udongo na udongoni ndio malalio yake..
 
haki ni ipi au ile inayokunufaisha wewe tu!!!

marais wanakwepa kunyonga watu ili kuikwepa laana ya kuua,wakati ni haki ya mhukumiwa kifo kuuawa kwa kunyongwa.

ardhi ndio mwisho wa kila kiumbe chenye siha yoyote,njema au mbaya.
hakuna sababu ya kutishana eti kuna kifo,as if wema hawafi.

ili mtu akuelewe mwambie kuna hukumu siku ya mwisho,kwa kila hesabu.
mapumbavu yanafikia hatua mpaka ya kumsifu hamza kwa upuuzi aliofanya,wakati ni gaidi tu kama wengine,ila sababu tu kaua polisi.
ujinga na upumbavu kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom