TANZIA DCI wa zamani, Robert Manumba afariki dunia

TANZIA DCI wa zamani, Robert Manumba afariki dunia

Unataka kusema kafariki sasa hivi?
Basi apumzike kwa amani
 
Chini ya uongozi wake Mwakyembe alitegeshewa sumu na kumfanya kunyonyoka ngozi na nywele mpaka leo hajawahi kutuambia ni akina nani walihusika

Hakuwahi kuweka bayana ni nani alimteka na kumtesa Dr. Ulimboka japo alijisifu lazima upelelezi ukamilike na wahalifu wakamatwe.
 
kuna wakati aliwahi kuugua malaria kali iliyofika hadi eti vidudu elfu 50 , inasemekana aliponea Johannesburg .
Eeh! Malaria parasites elfu hamsin kiongozi mwenye cheo kikubwa hvyo??

Au ndo mambo lya ugha zle za mgandamizo wa damu au kiharusi, kumbe Moto ushawaka long time?!
 
Back
Top Bottom