Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Hawa De Agosto wana shida kubwa sana kwenye kikosi chao na mstari wao wa ulinzi, wamewapa Simba mwanya wa kutamba kwakuwa hawana maarifa yoyote wanapofika kwenye 18 ya mpinzani.
Wanagongeana pasi katikati lakini zinakosa uhatari wowote kwenye umaliziaji, ni moja ya mechi nyepesi sana kwa Simba. Hongera yenu unapokutana na timu ya hivi unaipa inachostahili kwakuwa siyo kila mara utakutana na timu zinazocheza mpira wa namna hii.
Binafsi yangu niliifuatilia hii timu nikaona namna wanavyopata ushindi kiduchu sana na wa tabu icho ni kiashilia cha ubovu wa kikosi chao, wamepata nafasi kama 3 za kuweka mpira kambani lakini ubutu wao umewagharimu.