MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,041
- 10,699
Vibonde wakati ni Timu iliyofika robo fainali mara nne katika michuano mbalimbali ya afrika katika kipindi Cha miaka ya hivi karibuni.Point yangu ni kama vibonde wetu Simba wameweza kuifunga De Agosto, kwa Yanga ingekuwaje? Si ingekuwa 9-0 nyingine tena
Ninyi ambao sio vibonde mmefika wapi? Kama tu timu mwenzenu kutoka Afrika Mashariki ambaye mko nae CECAFA mnasema Ngumu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji109][emoji109][emoji109] je mngepangiwa timu kutoka hapo Zambia au Kongo mngesemaje? Hiii bargosha