Hawa de agosto wana shida kubwa sana kwenye squad yao na defence line yao, wamewapa simba mwanya wa kutamba kwakuwa awana maarifa yoyote wanapofika kwenye 18 ya mpinzani, wanagongeana pasi katikati lakini zinakosa uhatari wowote kwenye umaliziaji, ni moja ya mechi nyepesi sana kwa simba, hongera yenu unapokutana na timu ya hivi unaipa inachostahili kwakuwa sio kila mara utakutana na timu zinazocheza mpira wa namna hii, binafsi yangu niliifuatilia hii timu nikaona namna wanavyopata ushindi kiduchu sana na wa tabu icho ni kiashilia cha ubovu wa squad yao, wamepata nafasi kama 3 za kuweka mpira kambani lakini ubutu wao umewagharimu