Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Pole sana utopolo a.k.a mavi fcHawa de agosto wana shida kubwa sana kwenye squad yao na defence line yao, wamewapa simba mwanya wa kutamba kwakuwa awana maarifa yoyote wanapofika kwenye 18 ya mpinzani, wanagongeana pasi katikati lakini zinakosa uhatari wowote kwenye umaliziaji, ni moja ya mechi nyepesi sana kwa simba, hongera yenu unapokutana na timu ya hivi unaipa inachostahili kwakuwa sio kila mara utakutana na timu zinazocheza mpira wa namna hii, binafsi yangu niliifuatilia hii timu nikaona namna wanavyopata ushindi kiduchu sana na wa tabu icho ni kiashilia cha ubovu wa squad yao, wamepata nafasi kama 3 za kuweka mpira kambani lakini ubutu wao umewagharimu
Unadhihirisha ile kauli ya Luc Eymael kuwa nyie ni nyani, mbwakoko na ni uneducatedHawa de agosto wana shida kubwa sana kwenye squad yao na defence line yao, wamewapa simba mwanya wa kutamba kwakuwa awana maarifa yoyote wanapofika kwenye 18 ya mpinzani, wanagongeana pasi katikati lakini zinakosa uhatari wowote kwenye umaliziaji, ni moja ya mechi nyepesi sana kwa simba, hongera yenu unapokutana na timu ya hivi unaipa inachostahili kwakuwa sio kila mara utakutana na timu zinazocheza mpira wa namna hii, binafsi yangu niliifuatilia hii timu nikaona namna wanavyopata ushindi kiduchu sana na wa tabu icho ni kiashilia cha ubovu wa squad yao, wamepata nafasi kama 3 za kuweka mpira kambani lakini ubutu wao umewagharimu
Na bado anawadai mil 345Unadhihirisha ile kauli ya Luc Eymael kuwa nyie ni nyani, mbwakoko na ni uneducated
Usijali utakutana nao kwenye shirikishoHawa de agosto wana shida kubwa sana kwenye squad yao na defence line yao, wamewapa simba mwanya wa kutamba kwakuwa awana maarifa yoyote wanapofika kwenye 18 ya mpinzani, wanagongeana pasi katikati lakini zinakosa uhatari wowote kwenye umaliziaji, ni moja ya mechi nyepesi sana kwa simba, hongera yenu unapokutana na timu ya hivi unaipa inachostahili kwakuwa sio kila mara utakutana na timu zinazocheza mpira wa namna hii, binafsi yangu niliifuatilia hii timu nikaona namna wanavyopata ushindi kiduchu sana na wa tabu icho ni kiashilia cha ubovu wa squad yao, wamepata nafasi kama 3 za kuweka mpira kambani lakini ubutu wao umewagharimu
Kosa la wazazi wako waliokulea ndio maana unatoa matusi, lakini nyeusi inabaki kuwa nyeusi uwezi kubadili chochote ili nikufurahishe unachokitaka wewePole sana utopolo a.k.a mavi fc
Halafu huku Haji Manara ana furaha ya ajabu anarukaruka kama amepagawa vile na ushindi wa Simba.Na bado anawadai mil 345
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kabisaaa...watu wamepambana kushinda ugenini alafu mpuuzi mmoja anadhani ni rahisi kiasi hicho.Nenda na timu yako kaifunge
wanapendaga kulinganisha utasikia al hilal kashinda kwa mbinde shidi ya waimba kwaya wa ethiopia waliocheza na simba , simba amabayo tunaifungaga?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kabisaaa...watu wamepambana kushinda ugenini alafu mpuuzi mmoja anadhani ni rahisi kiasi hicho.
Nimekaa pale [emoji117]nasubiri kwa hamu marudiano yao
Nafasi hizo wangepata magoli ungeongea haya?Hawa de agosto wana shida kubwa sana kwenye squad yao na defence line yao, wamewapa simba mwanya wa kutamba kwakuwa awana maarifa yoyote wanapofika kwenye 18 ya mpinzani, wanagongeana pasi katikati lakini zinakosa uhatari wowote kwenye umaliziaji, ni moja ya mechi nyepesi sana kwa simba, hongera yenu unapokutana na timu ya hivi unaipa inachostahili kwakuwa sio kila mara utakutana na timu zinazocheza mpira wa namna hii, binafsi yangu niliifuatilia hii timu nikaona namna wanavyopata ushindi kiduchu sana na wa tabu icho ni kiashilia cha ubovu wa squad yao, wamepata nafasi kama 3 za kuweka mpira kambani lakini ubutu wao umewagharimu