mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Na bado anawadai mil 345
Ana fundo kooni. Kaandika akiwa ana hasira balaa.pole,alafu uandishi gani huu.
Nafurahi kuona Simba wamecha kujilinganisha na utupwinyo.wanapendaga kulinganisha utasikia al hilal kashinda kwa mbinde shidi ya waimba kwaya wa ethiopia waliocheza na simba , simba amabayo tunaifungaga?
simba akishinda taifa kwa teams kama ahly , berkane basi nao wanaamini ni rahisi sana

Mmeanza. Unaumia ukitokea chumba gani?Hawa de agosto wana shida kubwa sana kwenye squad yao na defence line yao, wamewapa simba mwanya wa kutamba kwakuwa awana maarifa yoyote wanapofika kwenye 18 ya mpinzani, wanagongeana pasi katikati lakini zinakosa uhatari wowote kwenye umaliziaji, ni moja ya mechi nyepesi sana kwa simba, hongera yenu unapokutana na timu ya hivi unaipa inachostahili kwakuwa sio kila mara utakutana na timu zinazocheza mpira wa namna hii, binafsi yangu niliifuatilia hii timu nikaona namna wanavyopata ushindi kiduchu sana na wa tabu icho ni kiashilia cha ubovu wa squad yao, wamepata nafasi kama 3 za kuweka mpira kambani lakini ubutu wao umewagharimu
Halafu utopolo watapigwa!Usijali utakutana nao kwenye shirikisho
Wala kuandamana kwenda kwa mamaHuku hakuna mbeleko wala bahasha.
Mimba ya Simba hiyo na haitoki hata aharishe mimaviAna fundo kooni. Kaandika akiwa ana hasira balaa.
Lakini si unaona kuwa Al Hilal ni timu ya viwango na ngumu zaidi kuliko De Agosto?Timu yako ni ya 75 angalia namba 28 ni naniView attachment 2382055
Tuseme Al Hilal ni bora kuliko de agosto. De agosto na yanga nani bora sasa?Lakini si unaona kuwa Al Hilal ni timu ya viwango na ngumu zaidi kuliko De Agosto?
Al Hilal ya 19 huku De Agosto ni ya 28
Agg 1-2🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawa De Agosto wana shida kubwa sana kwenye kikosi chao na mstari wao wa ulinzi, wamewapa Simba mwanya wa kutamba kwakuwa hawana maarifa yoyote wanapofika kwenye 18 ya mpinzani.
Wanagongeana pasi katikati lakini zinakosa uhatari wowote kwenye umaliziaji, ni moja ya mechi nyepesi sana kwa Simba. Hongera yenu unapokutana na timu ya hivi unaipa inachostahili kwakuwa siyo kila mara utakutana na timu zinazocheza mpira wa namna hii.
Binafsi yangu niliifuatilia hii timu nikaona namna wanavyopata ushindi kiduchu sana na wa tabu icho ni kiashilia cha ubovu wa kikosi chao, wamepata nafasi kama 3 za kuweka mpira kambani lakini ubutu wao umewagharimu.
Hiyo ndiyo gharama ya ujinga.Maisha hayako fair kabisa
Yaani unatukanwa hapo.hapo.unatakiwa umlipe aliyekutukana
Wewe ni kiazi umepoteza kumbukumbuHawa De Agosto wana shida kubwa sana kwenye kikosi chao na mstari wao wa ulinzi, wamewapa Simba mwanya wa kutamba kwakuwa hawana maarifa yoyote wanapofika kwenye 18 ya mpinzani.
Wanagongeana pasi katikati lakini zinakosa uhatari wowote kwenye umaliziaji, ni moja ya mechi nyepesi sana kwa Simba. Hongera yenu unapokutana na timu ya hivi unaipa inachostahili kwakuwa siyo kila mara utakutana na timu zinazocheza mpira wa namna hii.
Binafsi yangu niliifuatilia hii timu nikaona namna wanavyopata ushindi kiduchu sana na wa tabu icho ni kiashilia cha ubovu wa kikosi chao, wamepata nafasi kama 3 za kuweka mpira kambani lakini ubutu wao umewagharimu.
Kwahiyo ulitaka uende makundi kwa kukutana na timu kama zalan tu.Lakini si unaona kuwa Al Hilal ni timu ya viwango na ngumu zaidi kuliko De Agosto?
Al Hilal ya 19 huku De Agosto ni ya 28