De Agosto ni kama Ihefu iliyo changamka, kikosi chao ni majanga

 
Ata Al Hilal walipo ifunga simba 1 kwa 0 kule sudan ..huku bongo mkajifariji eti wakija kwa mkapa mtawapiga 4 o clock ..sijui itakuwaje Huko Sudan
 
wanapendaga kulinganisha utasikia al hilal kashinda kwa mbinde shidi ya waimba kwaya wa ethiopia waliocheza na simba , simba amabayo tunaifungaga?
simba akishinda taifa kwa teams kama ahly , berkane basi nao wanaamini ni rahisi sana
Waliona Simba inavyofikaga fainali inafanya kazi nyepesi.
Na wao kwakuwa wanabahatisha kuifunga Simba wakajiona nao wanajua.

Uzuri wa mpira kila kitu kinaonekana kwa macho.
Tunaelekeza machobm yetu Sudani.
 
Zalan fc ni mabingwa wa ligi yao huko somalia
 
Tuseme Al Hilal ni bora kuliko de agosto. De agosto na yanga nani bora sasa?
Yanga msimu huu ni bora kuliko De Agosto
Maana inajichapia Simba kirahisi tu, ila De Agosto Simba kwao ni mtihani mkubwa
 
La mkosaji hilo

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Unateseka ukiwa wapi utopolo?
 
Sawa,hao De agosto walikuwa wanapata ushindi kiduchu ukagundua ni wabovu,vipi utopolo walioshinda kwa kishindo mechi mbili klabu bingwa goli Tisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…