De Agosto ni kama Ihefu iliyo changamka, kikosi chao ni majanga

Point yangu ni kama vibonde wetu Simba wameweza kuifunga De Agosto, kwa Yanga ingekuwaje? Si ingekuwa 9-0 nyingine tena
Vibonde wakati ni Timu iliyofika robo fainali mara nne katika michuano mbalimbali ya afrika katika kipindi Cha miaka ya hivi karibuni.

Ninyi ambao sio vibonde mmefika wapi? Kama tu timu mwenzenu kutoka Afrika Mashariki ambaye mko nae CECAFA mnasema Ngumu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji109][emoji109][emoji109] je mngepangiwa timu kutoka hapo Zambia au Kongo mngesemaje? Hiii bargosha
 
Haishangazi yule mzungu wao pori kusema wenye akili kule ni wawil tu
 
Nazungumzia current state ya timu mzee, sio historia
Currently Yanga ni timu tishio sana, ambayo ikikutana na Simba kipigo ni lazima, sasa vuta picha ndio ingekutana na huyo De Agosto asyefungwa hadi na vibonde?
 
Hakika aliewaita utopolo alikuwa na akili.sana
Nazungumzia current state ya timu mzee, sio historia
Currently Yanga ni timu tishio sana, ambayo ikikutana na Simba kipigo ni lazima, sasa vuta picha ndio ingekutana na huyo De Agosto asyefungwa hadi na vibonde?
 
Hapa ndipo mafuta na maji yanapotengana, ukikubali kwamba kuna sehemu unafeli ndio mafanikio yanapoanzia hapo sio kutafuta visingizio.
 
Wewe jamaa Ile beki Yao yenye Rasta nadhani Ni bobo Kuna beki gani ya kati pale yanga ya kulinganisha Na Yule mwamba au Ile winga iliyokuwa ikikabwa Na Mo Hussein Kuna winga Kama Ile yanga acheni unazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…