Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

Deal ya Ali Kiba na Sony: Makosa yanayojirudia..

Mkuu "The Bold" kwa taarifa tu ni kwamba Sony BMG ilikuwa ni kampuni ya muziki (Music and Entertainment company) ambayo ilikuwa ikimilikiwa kwa ubia wa asilimia 50-50 kati ya Sony Corporation of America (SCA) na Bertelsmann AG (BMG). Kampuni hiyo ya Sony BMG ilianzishwa March 3, 2004 (Miaka 12 Iliyopita) lakini ilipofika tarehe 1/October/2008 (Miaka 7 iliyopita) Sony Corporation walinunua asilimia 50 ya hisa zilizokuwa zikimilikiwa awali na Bertelsmann AG (BMG) na hivyo kuifanya Sony BMG kuwa chini ya Sony Coporation of America kwa asilimia 100 na jina lake kubadilika na kuwa Sony Music Entertainment (SME).

Ikumbukwe ya kwamba kampuni ya Sony BMG ilikuwa mmiliki wa recording labels mbalimbali kama vile Arista Records, Columbia Records, Epic Records, J Records, Mchenry Records, Jive Records, RCA Victor Records, RCA Records, Legacy Recordings, Sonic Wave America, na nyinginezo nyingi na hivyo, mabadiliko haya (Ya mwaka 2008) yaliathiri matawi yote ya Sony BMG duniani kote isipokuwa kwa Japan ambapo waliona kuwa mabadiliko ya aina hiyo yangepelekea kupunguza kwa kiasi kikubwa ushindani katika sekta ya muziki wa nchi hiyo. Kwa maana hiyo Sony Music Entertainment Japan (SMEJ) ni tawi la Sony Music Entertainment (Iliyokuwa awali Sony BMG) lakini hufanya shughuli zake bila kuathiriwa na sera za Sony Music Entertainment of America ambayo ndiyo kampuni mama....

Hata ukiangalia kwenye list ya wasanii waliosainishwa chini ya Sony Music (fuata link hii https://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Sony_Music_artists yapo majina ya wasanii wote ulimwenguni (e.g. Beyonce, Britney spears, Bow Wow, Avicii, drake, Alikiba na wengine wengi) ambao wako chini ya Sony Music.

Kwa mantiki hiyo, dili alilosaini Alikiba siyo kwa Africa pekee bali it’s a Global deal. MUNGU AMTANGULIE.
beyonce yupi chini ya columbia, drake yupo chini ya warner music hawapo sony ila tu n kwamba sony wao n distributers wa kazi zao tu that applies to ali kiba nahisi hawa sony wamebase kwny.usambizaji wa mziki sana
cc pwilo
 
yale yale ukiwa na management mbovu lazima uteleze tu nakaya alikuwa na muda gani ktk game? unawezeje kusema zama zake zimekwisha? sugu na afande sele utawaitaje?
Muziki huwa haujalishi una muda gani ukikukataa ndo mazima hivi mtu kama Nakaya unategemea akitoa nyimbo anafanya poa kama mwanzo?nyimbo ngapi katoa baada ya mr. politician na hazikuweza fanya poa kuwa msanii ni zaidi ya kuwa mwimbaji tu bali ubunifu pia unahitajika mana Muziki ni biashara kama wanavyofanya kina Diamond,Joh makini,Navy kenzo,Ali Kiba na wengineo...ukija kwa kina Afande sele na Sugu wamebaki na heshima ya ukongwe tokana za enzi zao walifanya poa na si kuja hit kama zamani hiyo ni big No mana hawajabadirika na bado wanafanya style old school ambazo kijana wa sasa hawezi kukuelewa
 
Muziki huwa haujalishi una muda gani ukikukataa ndo mazima hivi mtu kama Nakaya unategemea akitoa nyimbo anafanya poa kama mwanzo?nyimbo ngapi katoa baada ya mr. politician na hazikuweza fanya poa kuwa msanii ni zaidi ya kuwa mwimbaji tu bali ubunifu pia unahitajika mana Muziki ni biashara kama wanavyofanya kina Diamond,Joh makini,Navy kenzo,Ali Kiba na wengineo...ukija kwa kina Afande sele na Sugu wamebaki na heshima ya ukongwe tokana za enzi zao walifanya poa na si kuja hit kama zamani hiyo ni big No mana hawajabadirika na bado wanafanya style old school ambazo kijana wa sasa hawezi kukuelewa


haya upo sahihi.
 
Kuna utofauti kati ya endorsement na management kiba kasign kampuni ya kum manage yaani leoo ndo nimekubali sisi wa tz ni mazumbukuku ulimwengu uko huku. Sio was tz wote baadhi staki mapovu ya watu ,by the way kiba katisha sana kwny nyimbo ya aje doooh kile ki faransaa palee kati nimekufaa looh
 
Muda wa kuandika thread ndefu hivi alafu iko negative unaupata wapi?
Wabongo kula kitu mnajifanya mnajua.
 
Hata Rose Muhando siku hizi avumi tena na ni baada ya kuingia mkataba na hao so called Sony...
Sijui alibweteka au ndio anavyosema mdau...hawana ujuzi wa ku market kama kina Babu Tale (kwi kwi kwi)

Na wewe kumbe mkimbiza mwenge..
 
Huko kwenye mitandao ya kijamii kumechafuka habari ya Ali kusign deal na Sony wengi wakiamini huo ndio utakuwa mwanya wa msanii huyo kutoboa kimataifa.. Jambo ambalo mashabiki wake wanashindwa kuelewa ni kuwa huo unaweza kuwa anguko la King Kiba badala ya kuwa neema..

Kwanza kabisa kitu ambacho hawakielewi ni kuwa Ali hajasaini na Sony Music Ent. BMG (ishu yake sio 'global deal') bali amesaini na Sony Music Africa ambayo ni subsidiary ya Sony Music Entertainment!! Kwa ninavyoelewa Sony Music Africa wana sambaza mziki na kumanage wanamuziki ndani ya Africa pekee.. Sasa eidha Ali hajui alichosaini au chumvi inaongezwa kunogesha habari..

Kingine watu wanaona hii ni kama Bahati Ali amepata wanachoshindwa kuelewa ni kwamba wasanii wakubwa Africa huwa wanakataa kusign na hizi kampuni zenye asili ya marekani na ulaya kutokana na kampuni hizi kushindwa kutimiza malengo na kutoelewa mazingira ya soko la mziki Africa! Kwa mfano wasanii wote ambao wamewahi kusign na Sony karibia wote walikuja kufa kimuziki kutokana na Sony kushindwa kuwa market kutokana na kutoelewa mziki wa Africa; mfano wasanii kama Nakaaya Sumari, Nneke Egbuna (Nigeria), Luncvile (SA), Nathan Ro (SA) wote hawa wamepotea kwenye mziki..

Mfano mwingine ni msanii D'banj ambaye aliondoka Mavins na kujiunga na label ya GodLife chini ya kanye west, mpaka sasa D'banj anasafiria jina lake tu lakini kimuziki ameshuka vibaya sana!! Kampuni za kimarekani hazina record ya kuwatoa wasanii wa kiafrika na hii inatokana na kutoelewa industry yetu na ndio maana Psquare walikataa mabilioni waliyotaka kupewa ili wasign Convict records..

Kingine kinachosemwa na watu ni kwamba hizi kampuni zina mambo mengine makubwa zaidi kwahiyo inakuwa nguvu kwao kuwa serious sana na mwanamuziki mmoja mmoja; kwa mfano kampuni mama ya Sony Music Africa (Sony Entertainment BMG) ina zaidi ya label 25 ndogo ndogo kama hii aliyosign kiba na ina wasanii karibia katika kila nnchi ya ulaya, Asia na Amerika ya kusini. Wana zaidi ya wasanii elfu moja wanaowasimamia so inakuwa ngumu kwao kutoa macho kwa msanii mmoja mmoja na ndio maana wasanii wengi wakubwa wa Africa wanakataa kusign chini yao wanaona ni afadhali watengeneze timu zao wenyewe za management ambazo macho yao na attention yote itakuwa kwao wao kama wasanii..

Anyways, let me just assume management ya Ali inafahamu vitu ambavyo mimi sivifahamu na wamefanya research ya kutosha kabla ya kusign na hatimaye watatuprove wrong wote ambao tuko sceptical about this deal.!!
Kama kijana mwenzangu namtakia kilala kheri na mafanikio katika safari yake mpya...
mkuu umeongea jamba ambalo hata mimi nimejiuliza, ukiachana na SonyAfrica aliyosign alikiba kuna wasanii wengi wa Africa wesign sony world wide bila mafanikio, ninaamini geografia ya mziki wa Afrika umewashinda.. ebu jaribu kupitia hii article kidogo.
Contrary to the statement made by Davido that he was the first African to sign a global record deal, here is a list of five other Africans who got global deals from Sony Music Entertainment before Davido.
NNEKA EGBUNA
The Nigerian-German hip hop/soul singer was born in Warri in December, 1980. The artiste, who sings in both Igbo and English, released her debut album ‘Victim of Truth’ in 2005. She has citied Fela Kuti and Bob Marley as sources of inspiration for her.
LONCVILLE
This is a South African band made up of identical twin brothers, Andrew and Brian Chaplin. The 26-year-old twins released their debut album Sun in My Pocket in February 2010. The duo began their musical career in 2009 and got a deal with Sony Music Entertainment in September 2010.
NAKAAYA SUMARI
The Tanzanian singer and rapper was a participant in Tusker Project Fame in 2006. The 34-year-old musician released her debut album ‘Nervous Conditions’ in February 2008. She signed a record deal with Sony Music Entertainment in 2009 after a tour in Denmark.
NATHALIE MAKOMA
A runner-up in the fourth season of the Dutch Idols singing competition, the Congolese singer began her musical career in 1993 with her family group, Nouveau Testament. The 34-year-old singer quit the band in 2002 to begin her solo career. She got a deal with Sony Music Entertainment formerly Sony BMG in 2008, which she quit in 2010.
NATHAN RO
Born Jonathan Ross, the South African musician is the lead singer live performing band, Lonehill Estate. The 33-year-old singer was the runner-up in the 2004 M-Net reality show Project Fame. He secured a Sony BMG deal in 2004.
Other artistes who have gotten deals with Sony include Keko (Uganda) and Sade Adu with various African artistes getting deals from Sony’s subsidiaries.
These artistes include D’banj (Nigeria), AKA (South Africa), Toya Delazy (South Africa).
 
Sasa rafiki umesema lebo hiyo ina manage kazi za Ali Kiba through out Africa! Sasa huoni hiyo kama ni hatua! Sidhani kama management yake ya sasa ilikuwa na mkataba wa kumpromote Africa nzima! Actually kufanya vizuri kwenyw gane ni zaidi ya lebo, na huwezi kuendelea usipokubali changamoto! Kila kitu huanza kwa hatua.
 
Mkuu mi naomba nikurekebishe kidogo tu na kuweka kumbukumbu sawa, D-banj hajawahi kuwa Mavins Record, acha kupotosha watu ama kwa bahati mbaya au makusudi
 
Mziki wa ali siyo wa kimataifa hauwezi kuwa wakimataifa na haujawai kuwa pia,tatizo lake kubwa anayaacha mambo yaende yenyew tu bila kutumia nguvu za ziada kupush mziki wake kimataifa kiufupi ali amelala sana
 
Unachosema Ni sahihi lakini sisi tutakuona Ni mpinga maendeleo ya bwana kiba msangi mkongwe
 
beyonce yupi chini ya columbia, drake yupo chini ya warner music hawapo sony ila tu n kwamba sony wao n distributers wa kazi zao tu that applies to ali kiba nahisi hawa sony wamebase kwny.usambizaji wa mziki sana
cc pwilo

Ni kweli kabisa mkuu Beyonce yupo Columbia Records lakini fuatilia vizuri....Columbia Records ni moja ya recording Labels ambazo zinamilikiwa na Sony Music.... Kwa upande wa Drake, mnamo Februari 24, 2016, alisaini kujiunga na label ya BBK (Boy Better Know) ambayo yuko nayo hadi hivi leo.....hata hivyo drake ameorodheshwa kwenye list ya wasanii walio chini ya mwamvuli wa Sony Music (**Sina strong statement kuhusu uhusiano uliopo kati ya Drake na Sony Music au BBK na Sony Music kwa sasa lakini unaweza pia kuweka mchango wako kuhusu hilo if you know better about that).
 
Sasa rafiki umesema lebo hiyo ina manage kazi za Ali Kiba through out Africa! Sasa huoni hiyo kama ni hatua! Sidhani kama management yake ya sasa ilikuwa na mkataba wa kumpromote Africa nzima! Actually kufanya vizuri kwenyw gane ni zaidi ya lebo, na huwezi kuendelea usipokubali changamoto! Kila kitu huanza kwa hatua.

Kama Unafuatilia Clouds kwa sasa hivi anazungumza Manager wa alikiba kuhusu "Global deal" aliyosign Kiba na Sony Music....watagharamia kazi zake zote za kimuziki duniani pamoja na career development yake kiujumla ikiwa ni pamoja na kuwaleta or kumuweka Ali karibu na wasanii wakubwa kimataifa, waandishi mbalix2 wa nyimbo worldwide...na kingine ni kusaidia katika image development ya bwana Kiba....pia watafanikisha muziki wa kiba uweze kupigwa kwenye platform balimbali ulimwenguni e.g. Tidal na nyinginezo. By the way ni mkataba wa miaka 5.
<iframe width="854" height="480" src="" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
 
Nakaaya yupo rehab... Rose muhando yupo rehab.... Keko kawa kichaa.. Yote sababu ya mkataba wa sonny.

Kiba....??

Mhh ngoja nipite zangu nisiitwe hater mie.
 
Back
Top Bottom