Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Kwamba wao hawakuombi ombi? Basi komaa na hao huku kwingine ukiomba na wewe utaombwaSio OMBA OMBA😍😍
#KATAA_OMBAOMBA
#KATAA_OMBAOMBA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba wao hawakuombi ombi? Basi komaa na hao huku kwingine ukiomba na wewe utaombwaSio OMBA OMBA😍😍
#KATAA_OMBAOMBA
#KATAA_OMBAOMBA
Kwa nini aombe?. Akiomba tu hapewi, hata kama mpango wa kumpa ulikuwepo lakini hapewi tena. Aache ni set bajeti yangu. Kama nikiona Kuna umuhimu wa kumpa ntampa. Na yeye akitaka anipe kipochi manyoya chake au akatae.Let's say umeweka msimamo wa kutokumpa demu wako hela,vipi kama na yeye akiwa na msimamo wa kutukukupa Papuchi coz humsaidii gharama ya vitu vidogo anapokwama?
Au yeye msimamo wake hautoheshimiwa?
Nyie ni wale wanaume mafala na madomozege mnaotumia pesa kutetea ubwege wenu. You don't have game, you are a pawn in womens' games. Man up mzee baba.Siku akipata hela atakuja kujicheka sana na hiyo comment yake,
Ni ngumu sana kumuaminisha mtu asiye na hela kua kumuhudumia demu wako sio kitu kibaya,ni sawa na kulimwagia maji ua ulilolipanda ili lionekane vizuri machoni mwako,
Starehe gharama.
Hapa lazima uwe legends kama shrondigar 😂😂😂😂Hili swali la babe nikwambie kitu?
Inabidi u-copy akili za socrates na Plato kwa muda ukikurupuka tuu wallet itanuna
Issue sio kuenjoy bali nikumsaidie mwenza wako anapokua na shida,Kwenye ngono na-enjoy peke yangu?
Na ndio maana nimesema kuwa na misimamo sio kitu chepesi.Let's say umeweka msimamo wa kutokumpa demu wako hela,vipi kama na yeye akiwa na msimamo wa kutukukupa Papuchi coz humsaidii gharama ya vitu vidogo anapokwama?
Au yeye msimamo wake hautoheshimiwa?
Huwa ni vinara wa kulilia haki sawa hadi linapokuja swala la kutoa hela😂 hapo wanahamishaga goli chap!!!Kwani mwanamke ndio nani? ni mtoto yatima au mlemavu asiyeweza kufanya kazi? Ishu sio uwezo ishu ni principles, kila mtu anaishi kwa principles zake.
Maninaaaaaa 😂😂😂😂😂Mi sio mbabe, nabembeleza kuliko maelezo nna mapenzi hadi sio poa.....Na za ndani hapa tz hatuzidi kumi 😹
Kitendo cha Watu wawili kwa pamoja = kutendana siyo kutenda.Hutaki kuombwa hela ila untak ktmba bure bila ndoa
Chunga sana lugha yako unaponiquote comment zangu,nakuspare kwa heshima ya huu uzi tu,coz hua siwalei wanaonivunjia heshima kwa lugha ya kudhalilisha,Nyie ni wale wanaume mafala na madomozege mnaotumia pesa kutetea ubwege wenu. You don't have game, you are a pawn in womens' games. Man up mzee baba.
Mara nyingi kinachotuuma sie wanaume sio kutoa hela, tunapenda kuwapa hela ila shida ni kuwa balqior naeza kuwa najitoa kuhudumia pesa, kumbe vyombo na treatment nzuri anapewa Mzee wa kupambania ambaye hagharamiki kihivyo kama mimi, sasa si ujinga huo Kapeace ephen_Toa hela wewe au unataka upewe wewe hizo hela?
Acha ubahili! Toa pesa toa mpunga
Ukiwa serious sana unaharibu mkuuChunga sana lugha yako unaponiquote comment zangu,nakuspare kwa heshima ya huu uzi tu,coz hua siwalei wanaonivunjia heshima kwa lugha ya kudhalilisha,
Another day,somewhere else.
Mwenzenu nina ""aleji"" ya kuombwa hela
1. Ukiniomba hela basi ujue sura yako inabadilika kutoka Kuwa Beyonce kwenda Masudi sura mbaya..!!!!
2. Ukiniomba hela basi ujue hilo tako lako loteee linayeyuka, nakua silioni tenaaa ....!!!!
View attachment 3078610
Dear baby, ukiniomba hela hiyo meseji sijibu ng'ooooooo.
View attachment 3078613
Dear baby, hela zangu zipo kwa ajili ya kesho yangu ila sio kukuhonga wewe..!!!
I save for my business and not for the Blow J service you provide...!!!
I save for my future and not for pus*y service you provide...!!!
UZI TAYARI.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Kama huna unasema sina
Kumpa mtu hela sio lazima awe mchumba yeyote mwenye uwezo unamsaidia
Hawa ni wachoyo na roho mbaya zimewajaa
Unamwambia mtu unampenda halafu anakosa chakula unashindwa
Akale kwao.😃kumnunulia na hela unayo.