Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Let's say umeweka msimamo wa kutokumpa demu wako hela,vipi kama na yeye akiwa na msimamo wa kutukukupa Papuchi coz humsaidii gharama ya vitu vidogo anapokwama?

Au yeye msimamo wake hautoheshimiwa?
Kwa nini aombe?. Akiomba tu hapewi, hata kama mpango wa kumpa ulikuwepo lakini hapewi tena. Aache ni set bajeti yangu. Kama nikiona Kuna umuhimu wa kumpa ntampa. Na yeye akitaka anipe kipochi manyoya chake au akatae.
 
Siku akipata hela atakuja kujicheka sana na hiyo comment yake,

Ni ngumu sana kumuaminisha mtu asiye na hela kua kumuhudumia demu wako sio kitu kibaya,ni sawa na kulimwagia maji ua ulilolipanda ili lionekane vizuri machoni mwako,

Starehe gharama.
Nyie ni wale wanaume mafala na madomozege mnaotumia pesa kutetea ubwege wenu. You don't have game, you are a pawn in womens' games. Man up mzee baba.
 
Meanwhile kuna jamaa kampa demu pesa kusuka 30K, halafu yeye kabaki na 20K.

Kusukumia mwezi.
 
Kwenye ngono na-enjoy peke yangu?
Issue sio kuenjoy bali nikumsaidie mwenza wako anapokua na shida,

Mbona ni nadra sana kuona Wanawake ndio wanatongoza wanaume kama starehe ni kwa wote?

Hata Wanyama unakuta ni lazima Dume liingie mzigoni kumfukuzia Jike,huwezi kuona Kuku kajilaza anamsubiri Jogoo aje ampande kisa starehe ni kwa wote,

Kila starehe ina gharama zake.
 
Let's say umeweka msimamo wa kutokumpa demu wako hela,vipi kama na yeye akiwa na msimamo wa kutukukupa Papuchi coz humsaidii gharama ya vitu vidogo anapokwama?

Au yeye msimamo wake hautoheshimiwa?
Na ndio maana nimesema kuwa na misimamo sio kitu chepesi.

Sijasema anayepaswa kuwa na misimamo ni mwanaume pekee hata mwanamke naye anapaswa kuwa na misimamo yake.

Sasa kinacho baki hapa ni yupi anaweza kushikilia misimamo yake bila kuyumbishwa hapa jinsia ya mtu inaweza pia kuamua jinsia ipi inaweza kuwa ngangari.
 
Nyie ni wale wanaume mafala na madomozege mnaotumia pesa kutetea ubwege wenu. You don't have game, you are a pawn in womens' games. Man up mzee baba.
Chunga sana lugha yako unaponiquote comment zangu,nakuspare kwa heshima ya huu uzi tu,coz hua siwalei wanaonivunjia heshima kwa lugha ya kudhalilisha,

Another day,somewhere else.
 
Toa hela wewe au unataka upewe wewe hizo hela?
Mara nyingi kinachotuuma sie wanaume sio kutoa hela, tunapenda kuwapa hela ila shida ni kuwa balqior naeza kuwa najitoa kuhudumia pesa, kumbe vyombo na treatment nzuri anapewa Mzee wa kupambania ambaye hagharamiki kihivyo kama mimi, sasa si ujinga huo Kapeace ephen_
 
Acha ubahili! Toa pesa toa mpunga
Tena wewe na michezo yako ileee fanya kumuhudumia mtoto wa watu na umuoe
 
Kwa maoni ya wengi humu yakiwemo na ya wanawake nime gundua kuwa ngono ni biashara kubwa haishii barabarani na kwenye mabaa tu.
 
Unaweza kua na dada rafiki na sio mpz wako mara nyingi hawa wanakua masela and men’s hormones km wa Arusha vile mkawa mnasaidiana kwa vitu vingi sana but sio mpz wako wala huna uhusiano wwt wakimapenzi.
 
Chunga sana lugha yako unaponiquote comment zangu,nakuspare kwa heshima ya huu uzi tu,coz hua siwalei wanaonivunjia heshima kwa lugha ya kudhalilisha,

Another day,somewhere else.
Ukiwa serious sana unaharibu mkuu
 
Naunga mkono hoja,pesa isiwe kiunganishi kati ya mwanamke na mwanaume katika mapenzi.
wanaume msitoe hela kizembe toa pesa kwa sababu za msingi na sekondari.
 
Mwenzenu nina ""aleji"" ya kuombwa hela

1. Ukiniomba hela basi ujue sura yako inabadilika kutoka Kuwa Beyonce kwenda Masudi sura mbaya..!!!!

2. Ukiniomba hela basi ujue hilo tako lako loteee linayeyuka, nakua silioni tenaaa ....!!!!

View attachment 3078610

Dear baby, ukiniomba hela hiyo meseji sijibu ng'ooooooo.

View attachment 3078613

Dear baby, hela zangu zipo kwa ajili ya kesho yangu ila sio kukuhonga wewe..!!!

I save for my business and not for the Blow J service you provide...!!!

I save for my future and not for pus*y service you provide...!!!

UZI TAYARI.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Attachments

  • Screenshot_20240825_130005_Messages.jpg
    Screenshot_20240825_130005_Messages.jpg
    255.1 KB · Views: 4
Kama huna unasema sina
Kumpa mtu hela sio lazima awe mchumba yeyote mwenye uwezo unamsaidia

Hawa ni wachoyo na roho mbaya zimewajaa
Unamwambia mtu unampenda halafu anakosa chakula unashindwa

Ndio nashindwa kabisa Tena moyo unauma sana kumpa mwanamke ambae sio ndugu yake hela. Kama ni utelezi wote tunasikia raha. Lakini kama anajua Mimi kwake niwamalengo basi avumilie siku nikimuoa ntampa.
kumnunulia na hela unayo.
Akale kwao.😃
 
Back
Top Bottom