Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Unbidi ujue kwanini anaomba omba tena hela ndogo

Je
She is broke (amefulia)
Hana Kazi (jobless)
Anaumwa (she is sick)
Amepata dharula (Emergency issue)

Au kuomba ndo tabia yake if yes unaweza kumnyima na kumfundisha njia za yeye kuishi pasipo kuwa omba omba

Maana ukimpiga chini bila kumfundisha namna gani aishi , utakuwa haujamsaidia.


Reasonable doubt ✊🏿
 
Endelea kudanganyika kirahisi rahisi wanawake wakishamaliza kukutumia utaanza kutumiwa na mabasha
Alafu kwanini hutaki wanawake sasa unataka wanaume au.? maana unaleta wasiwasi aseeee me najua wanaume ni wadhaifu kwa wanawake na wana wahudumia kwasababu hawana mbadala wa utelezi wao sasa wewe unae kwepa wanawake aseeee napata wasiwasi na wewe
 
nakubaliana na mleta mada sema sio kitu cha kutamba nacho

mwanamke anatafuta wa kumpa mahitaji mengi, mwanaume(sisi wanaume maskini😅) anatafuta wa gharama ndogo, ni kama soko fulani

na wanawake nao kuna muda wanakabwa na nyege kwahiyo discount/free giveaway lazima zitakuwepo

sema kama mwanaume ni tajiri mimi naona amwage hela tu hamna shida
 
30k tu? 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…