Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Minawapa sana mazee, na sinto acha kuwapa..πŸ˜‚
Endelea kuwapa, mm hata ya bando sitoi. Mtu anakazi analipwa mshahara anaomba ela mpaka ya bando.
Screenshot_20240825-120305~2.jpg
 
Inabdi nijiweze mkuu ...
Dharau ndogo ndogo km hizi zinaumiza et
Sana tena sana..
Unajua mtu inaumiza hasa akiomba hela ndgo ndgo et 30k how ..

Mi niombe 2Mi tena unakuja na pdf yako kabisa unaenda kufanya hiki na kile
Uje na mkakati ukiwa full kwenye spread sheet... Siwezi kukunyima
Ila 30k sijui laki yaani nitamshusha vyeo huyo alafu tamuona kumbe ni mwanamke ambaye ajitambui an beuty without brain....

Sema all in all wewe unajiweza sana i see you before ....
 
Naona Vijana mnamwaga povu grade 1...🀣🀣
Mabroo mnazingua mjue πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. elfu 30 ni bill ya umeme na maji mwezi mzima hapa geto kwangu, halafu kuna nguchiro mwenye nguvu na akili timamu kuweza kufanya kazi, anidai wala hajanisaidia kuitafuta anataka nimpe kirahisi rahisi tu, that's is totaly bulshit.
 
NguchiroπŸ˜ƒπŸ–οΈ
 
Kumma si unaomba dia au nayo hauombi??? Make ishu ni kuomba
Naomba dia...
Ila kwa experience yangu wewe huombi either unakaba au unatishia mtu maisha....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Ubabe mwingi mno
 
Back
Top Bottom