Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Kwaiyo nyie ni watoza ushuru 🤣Kama huna unasema sina
Kumpa mtu hela sio lazima awe mchumba yeyote mwenye uwezo unamsaidia
Hawa ni wachoyo na roho mbaya zimewajaa
Unamwambia mtu unampenda halafu anakosa chakula unashindwa kumnunulia na hela unayo.