Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Kwaiyo nyie ni watoza ushuru π€£Kama huna unasema sina
Kumpa mtu hela sio lazima awe mchumba yeyote mwenye uwezo unamsaidia
Hawa ni wachoyo na roho mbaya zimewajaa
Unamwambia mtu unampenda halafu anakosa chakula unashindwa kumnunulia na hela unayo.
Kuna ile safari tuliongea kwenda πKwenye mitandao usiamini kila ukisomacho,hao wanaosupport,unaweza kukuta wao ndio wahongaji hasa.
π
Hili swali la babe nikwambie kitu?ππππ Yaani mi kusema kweli sijakutana bado na hao walanguzi aiseeee yaaani ningekua nachapa vibao pumbavuuu zao
Wapi nimesema hamna hela? Soma vizuri uelewe. Nimesema kama hutaki kumpa si usimtongoze, atapata kwa wanaotoa. Baki na chululu yako naye abaki na kitumbua chake. Case closed.Hela sio kwamba hatuna tunazo lakini sio zakumpa mwanamke, tunaandaa kesho yetu. Tukiwa na wake tutahudumia familia lakini sio hawa mbuzi.
Kaka hutokaa ukomw kutozwa ushuru na hilo nafikiri tumewekwa ulazima π€£π€£π€£πππππ Yaani ndo mana unakuta watu kila siku kuumwa magonjwa ya akili kumbe ni hawa hawa wanasababisha aiseeee.....
Sema kua mkaksi yahitaji moyo wa chuma
Andika maumivuπππKuna ile safari tuliongea kwenda π
Si utalipia au nije na hela zangu
π€£π€£π€£π€£Hili swali la babe nikwambie kitu?
Inabidi u-copy akili za socrates na Plato kwa muda ukikurupuka tuu wallet itanuna
ππππππ Yaaani wewe usingekua mbabe mbabe hvo naimani jamaa angekua anainjoi sana aiseee...Kwahiyo wewe hiyo mb000ooo yako ukailoweke tu umalize useme ahsante au sio nyk zk
π€£π€£π€£Hili swalaππππππ Yaaani wewe usingekua mbabe mbabe hvo naimani jamaa angekua anainjoi sana aiseee...
Wewe inabidi ushukuru tuu kwa lolote lile pesa kama pesa utapewa tuu..
Serious sisi tunapenda sana kutoa pesa kwa willing ila sio vile mnavotaka nyie
Kuna ile safari tuliongea kwenda π
Si utalipia au nije na hela zangu
[/QUOnimecheka kwa sautiπ€£
Sio chululu yangu tu na pesa yangu pia.πWapi nimesema hamna hela? Soma vizuri uelewe. Nimesema kama hutaki kumpa si usimtongoze, atapata kwa wanaotoa. Baki na chululu yako naye abaki na kitumbua chake. Case closed.
Kwani huwa mnauzaga hio kitu.Shikilia vizuri, kelele zote hapo kaombwa 30 tu, wakati wenyewe wanawaomba tamu zao
Mi sio mbabe, nabembeleza kuliko maelezo nna mapenzi hadi sio poa.....Na za ndani hapa tz hatuzidi kumi πΉππππππ Yaaani wewe usingekua mbabe mbabe hvo naimani jamaa angekua anainjoi sana aiseee...
Wewe inabidi ushukuru tuu kwa lolote lile pesa kama pesa utapewa tuu..
Serious sisi tunapenda sana kutoa pesa kwa willing ila sio vile mnavotaka nyie
Uwepo wako tu unatosha kabisa kua na thamani kuliko hizo hela,Kuna ile safari tuliongea kwenda π
Si utalipia au nije na hela zangu
Ukiona hivyo basi ujue mambo yako hayajakaa njema mazee....Endelea kuwapa, mm hata ya bando sitoi. Mtu anakazi analipwa mshahara anaomba ela mpaka ya bando.
View attachment 3078688
Maraoooooh siwezi toa uchi bureπ€£π€£π€£na huyu ni mnajiita wapenziKwani huwa mnauzaga hio kitu.
Mpewa Bure, toeni Bora.
Vingenevyo mtangaze mko kibiashara. Ili tukija tuje kibiashara.
Mnaweka charges kwenye kitu chenye kuupa utu wako thamani.
U can't be serious.
Mimi Hela napenda niwe natoa mwenyewe Kwa moyo wangu ila ukianza omba omba ovyo inanifikirisha sana na kuanza kukuchukulia Kwa namna nyingine kabisa.
Sahihi kiongozi....Jamii forum Kuna experience za Ajabu AjabuUkiona hivyo basi ujue mambo yako hayajakaa njema mazee....
Hakuna mwanaume anaeweza kumnyima mwanamke hela, and that's nature...βΉοΈ
Hakuna mwanaume mwenye nguvu ya kumnyima mwanamke hela mazee, and that's nature...π€£Mabroo mnazingua mjue ππππ.. elfu 30 ni bill ya umeme na maji mwezi mzima hapa geto kwangu, halafu kuna nguchiro mwenye nguvu na akili timamu kuweza kufanya kazi, anidai wala hajanisaidia kuitafuta anataka nimpe kirahisi rahisi tu, that's is totaly bulshit.