Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

me naona hapa kuna watu wa aina mbili, waliooa/kuolewa na ambao wapo tu ktk mahusiano tu.. kwahyo mtoa mada kwa bandiko lako ww unaonekana bado hujaoa, wale waliooa watakubaliana na mm kuwa kumpa pesa mke wako ni raha sana tena huwa ukitoa pesa mwenyew unajihisi kukamilika kama mwanaume
 
Hili swali la babe nikwambie kitu?

Inabidi u-copy akili za socrates na Plato kwa muda ukikurupuka tuu wallet itanuna
We mwambie niambie, akikuomba pesa mwambie Sina, au ninayo lakini sintokupa.

Yaani inatakiwa akitaka kukuomba pesa awaze zaidi ya mara 20. Yani ajue wewe kwenye pesa nimgumu. Kuna Manzi anasema yaani nikizungumzia habari za pesa mwisho hauwi mzuri.Yaan kunipa mpaka ujisikie na sio napokua nashida. Namwambia ndio pesa ningumu sana kutafuta kwahio kabla sijakupa naomba mizimu kwanza mpaka iruhusu.😃
 
Kataeni mademu jobless🙌🙌🙌
 
me naona hapa kuna watu wa aina mbili, waliooa/kuolewa na ambao wapo tu ktk mahusiano tu.. kwahyo mtoa mada kwa bandiko lako ww unaonekana bado hujaoa, wale waliooa watakubaliana na mm kuwa kumpa pesa mke wako ni raha sana tena huwa ukitoa pesa mwenyew unajihisi kukamilika kama mwanaume
Mkeo hakuombi pesa, bali ni wajibu wako mwanaume kuhudumia familia yako. Hata sisi tukioa tutahudumia familia kwa kuhakikisha mahitaji yote ya msingi yanapatikana kwa wakati. Naleo hii ndio tunaiandaa hio kesho ya kuhudumia mke. Atakaeweza vumilia ugumu huu tulionao basi anaweza pandishwa cheo kutoka Dem mpaka mke.
 
Wanaume kuombwa Pesa siyo tatizo tatizo ni uombaji wa Pesa wa kukomoana.
Lakini pia kwa upande wangu sipendi wanaomba pesa bila kuweka hitaji lake mfano dear naomba pesa nina shida... Shida haielezwi wala kiwango kinachohitajika haelezi naamini ni wale wanaotaka kujikoki.
 
Kataeni mademu jobless🙌🙌🙌
Mkuu wanaomba sio majobless, bali nihulka yao kuomba omba.
Screenshot_20240825-120943~2.jpg
 
Mkuu wanaomba sio majobless, bali nihulka yao kuomba omba.View attachment 3078769
Siogopi kuvunja mahusiano na wanawake wa sampuli hii🙌🙌🙌

Mimi moja uwe na kazi alafu uwe na uwezo wa kukidhi mahitaji madogo madogo sasa kuna vitu sio vya kumuomba "mpenzi" mfano

Hela ya kusuka
Hela ya lotion
Nauli za mizunguko ya hapo hapo mjini
Hela ya Mavazi

Hizo kukupa "kwangu" itakuwa ngumu sana labda kwa sababu ya MSINGI sana
 
Mkuu wanaomba sio majobless, bali nihulka yao kuomba omba.View attachment 3078769
Kuna demu tumegombana kama week mbili jana nimeamka nakuta mis call kama zote......kumpigia piga story akaanza utapeli wa amenimic mara anipigie video call....badae katikati ya story akanichomekea kirungu....nikacheka nikamwambia hiyo pesa ninayo lakini sikupi akajichekesha akakata simu ajanicheki tena

Kashakula 15k zangu na vifurushi vya kutosha ila jana hakutegemea .....Yahn jitu hatujawasiliana week mbili linanitafuta kumbe linataka hela.
 
Back
Top Bottom