Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Napendwa ๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe kazi ya kukusaidia kuufikisha huo ujumbe kwa muhusika. Maana najua ni nani unayemlenga.๐Nafurahi kusikia hujambo.
Mimi niko salama kabisa nimeshiba zangu hapa kuliko kuanza kuilaumu serikali nikaona bora nifungue uzi jf๐๐
nilikua nakuandalia uzi hapa wa crush,,kama tayari wamesha ku crush,, ngoj nitafute another crush kisha nimcrush.Dear crush
Hata mm nakuelewa kinyama nshawaza nikufate PM sema nikimuelewa mdada gafla naanza kumuogopa
Halafu kwako ndo amereact na emoji ya love. Sijui unasubiri nini sasa.Wanawake kaeni mbali. Abakie mtoa mada.
Sasa Mkuu, mhusika akicomment hapa, react na emoji ya ๐. Atajijua kisha atakufata PM.
Baadhi ya wanaume waliondoka mapema kwenye Kile kikao lkn tukiwa pale nje katibu alisisitiza hakikisha ID yake inakua active mwaka mzima.Tumekumbushana mkuu si unajua kikao Cha wanaume kilisahau baadhi ya mambo
ili aringe ana crush wawili,,, sitaki ngoj niingie sokoni nitafute crush mwingineAcha mambo ya ajabu basi..hebu mwandikie mwana uzi chap hapo
Hahahaa!. Nami nimekagua. Nimeona hakuna kwingineko alikoreact hivyo.Halafu kwako ndo amereact na emoji ya love. Sijui unasubiri nini sasa.
Hapana uzi ndo ulikua unaandaliwa kwaajili yake crushKumbe alishaanzishiwa na uzi kabisa yoooo๐๐๐
watu mko makini jaman hahaha ๐Halafu kwako ndo amereact na emoji ya love. Sijui unasubiri nini sasa.