Anasema hivi, ukimpenda mwanamke hakikisha unampa pesa maana mwanamke ni matunzo![emoji12]Hebu nitafsirie tafadhali, nimeona hiyo "for men" imesaidia sana kujua inatuhusu, namshukuru sana yule muuza pafyumu leo ningetoka kapa kabisa.
Na mwanaume yoyote anaependwa kutunzwa huyo ni laana tu!mwanaume wa kweli hata km mkewe ana uwezo au kipato atajishughulisha ili tu aonekane na yeye anaparticipate in one way or anaotheHaimaanishi pesa tu. Wapo wanaume wasiotoa pesa wanatunzwa. Huko ndo wanaafford kuwa kwenye relationship
Umeona eeehh!tafuta unaendana nae kwa kweli!the problem to some men!We are all expensive kazi kwao kuchagua pa kujiweka
[emoji134][emoji134][emoji134] kwani nimekosea? Basi kausha, ili asishtukie tukakosa deal hapa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bure kabisa wewe
Ndo maana kama huwezi kuhudumia nenda usipoweza kuhudumia ukae kwa amani. Mwanaume asiejua kuhudumia aisee apite kuleeeThe problem ya wanaume wa sasa wasiojielewa wanahisi akikupa pesa umemfanya baba yake mzazi,hawajui kua asili ya mwanamke ni kupewa!
U can't change nature
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nikilala ndani week utanilipa?? Sema unikune hamu iishe sio nilale week ndanu
Yani Mtoto kama weweNikilala ndani week utanilipa?? Sema unikune hamu iishe sio nilale week ndanu
Good morning Mzigua90, yani mi hata kama ukipost 1, 2, 3 .......mi lazima nipite hapoGood morning View attachment 806955
Mwanaume anejitambua kabisa hawezi akakaa na mwanamke asimpe hata elfu 10 ya salon. Mwanaume anaeogopa kuhudumia mwanamke wake ipo siku atatunzwa yeye na akiachwa kutunzwa na wanawake atatunzwa na wanaume wenzie maana neno kuhudumia patna halitakiNa mwanaume yoyote anaependwa kutunzwa huyo ni laana tu!mwanaume wa kweli hata km mkewe ana uwezo au kipato atajishughulisha ili tu aonekane na yeye anaparticipate in one way or anaothe
Etiii. Anataka mtoto mzuri mwenye maisha yake ila kulipia hata umeme anasema mwanamke anapenda pesaUmeona eeehh!tafuta unaendana nae kwa kweli!the problem to some men!
Uwezo wao vitz but anataka kujimwambafy kwenye Prado! Ndo anapoumia hapoo!
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Anasema hivi, ukimpenda mwanamke hakikisha unampa pesa maana mwanamke ni matunzo![emoji12]