Dear Men....

Nimefurahi kusikia hilo my dada, karibu kwenye uzi wa kuafodiana natumaini dirty head anakuafodi vyema[emoji40] (joke)
sana yani, siwezi lalamika hata kiduchu, nimeshangaa tu secta zote anazimudu
ninavyoelewa mimi wengi wetu kuna sekta tuko vzr zingine tunafeli ila kwa dirty head yuko vizuri pande zote
nazidi kufurahia mema ya nchi
 
Ewaaah, kwa maneno haya hakika umetekwa ukatekeka. My wish ni kukuona ukiwa happy siku zote.
 
Ndo tatizo liko hapo!kila mmoja anapaswa kuwajibika inavyotatikana !

Ila kwa sasa utakuta Dada anahudumiwa ila bado anazingua mpk washangaa
 
If you are not there I will pick ulipoishia. Ndo maana na sisi wanawake wa siku hizi tunatafuta vyetu siku mume hayupo au kashindwa kuprovide kwa sababu zisizozulika tunasaidia. Ila usitegemee uko hapo na nguvu zako ukae ulegeze miguu mimi nikuletee sahau. Utatoa nitakusaidia ninapoweza na nikishindwa usilalamike maana sikukutuma unioe. Ukishindwa kabisa katafute mwanamke mtakaegawana nusu kwa nusu mpaka kumbebea tumbo akiwa na mimba.
Halafu una obsession na chura eeh?? Chura inahusiana nini na financial dependency?
 
Ndo tatizo liko hapo!kila mmoja anapaswa kuwajibika inavyotatikana !

Ila kwa sasa utakuta Dada anahudumiwa ila bado anazingua mpk washangaa
Sasa unahudumia mtu anazingua unakaa kufanya nini?
 
Ndo tatizo liko hapo!kila mmoja anapaswa kuwajibika inavyotatikana !

Ila kwa sasa utakuta Dada anahudumiwa ila bado anazingua mpk washangaa

Tabu sana, nikikumbuka maisha niliyoyaishi na wazazi wangu, nina uhakika wanangu hawatapata hayo malezi.

Sijui watakuwaje mbeleni, Mungu anisaidie kuwalinda tu.
 
Tunajiona tunatakiwa kuhurumiwa kama sisi tunavyowahurumia na kuwapenda nyie

I see .. !

One said, after God fear woman. Ubavu moja hautoi life support ya maana i wish ningeweza bila mwanamke, women turn relationships toxic as hell.
 
Wanawake kama hao ndo huwa hawaolewi,tena huwa nawapenda sana akitaka laki mbili nampa,napiga pumbu naamsha,wanawake kama hao ni kuwakojolea na kuwaacha waje na wengine wakojolee
 
Khaa!?
Being a woman is expensive na unajua vile Men tunaangaika ku-provide ili mwanamke abaki kua mwanamke wa adhi yake kama mwanaume.. this is sufferings! who would like to suffer way men suffer jst for a woman.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…