"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

notifeki

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2013
Posts
402
Reaction score
283
Hivi kwanini hawa watu hawakomi.

Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy.

Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu linakuja tu kuomba.
 
inawezekana mwanzoni ulimuonyesha wewe ni ka ATM, sasa afanyeje
Hivi kwanini hawa watu hawakomi. Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy. Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu linakuja tu kuomba. "Dia babaako pambaf.. "
 
haaahaaaaaahaaaaaaaa that's Tuko banah chezeya!!!!!!!!!
Tukana matusi yote, lakini mwisho wa siku utazama kwenye pochi... na kama kumekauka utakopa...
This thing between women's legs is a laana.
 
Last edited by a moderator:
wee usipege mayowe...kama huna tulia bench wapo wanaume wanatoa na kumgegeda kwa raha zao
 
Tuacheni utani,, wanaume wa siku hizi tunajitia aibu,,, kweli dada zangu wana kazi,, sasa mpenzi wako amekwama elfu 80 tu kumsaidia inshu,,, kweli nimeamini wanaume wanaisha,,

poleni sana dada zangu,,, kumpa mpenzi wako hela sio kosa muhimu awe na sababu inayoeleweka anaomba kwa ajili ya nini...

Elfu themanini tu mtu unatoka povu hadi kumtusi mtu jamii forums,, tena ameomba ubavu wako mnaolala wote kama mlivyozaliwa,, ukiumwa yeye ndo anakuuguza, ukiwa na stress ye ndo anakupa furaha,,,

Kusema kweli mmetudhalilisha jinsia me kwa hii post
 
Asee hizo zipo sana, unaambiwa dia mshahara ofisini mmwezi huu bado haujatoka sijui nitaishije?!

Teh! Teh! Teh! mlume wa kweli lazima uzame kwenye pochi tu, acahana na hiyo kitu Tuko ameitaja hapo juu!
 
Last edited by a moderator:
The first impression really matter kwa hiyo ndo maana anaamua kuendelea tu kukupiga halafu wewe unapigia mayowe JF badala ya kumwambia moja kwa moja kwamba m,i siwezi nina majukumu ya kuandaa maisha ya baadae ya mimi na wewe
 
Mi mara ya kwanza kabisa kumpa mwanamke ela nilimpa sh 2000. Iliniuma sana maana nilikuwa nimepewa pocket money 5000, nimeshatumia 1500 na nilipotoa hiyo elfu 2 ikabaki 1500 ambayo nilitakiwa kuibajeti hadi shule itakapofungwa miezi 5 ijayo! Niliteseka sana ile term maana hata 1500 ilikuwa natumia naye tena:angry:

Nililaani sana na nikajiapiza sitakaa nihonge mwanamke... Pamoja na kujiapiza kote, ukiniambia saa hizi eti ndo natoa viburungutu.... kweli hii ni laana...
 
asipokwambia ww amwambie nani?
Hivi kwanini hawa watu hawakomi. Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy. Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu linakuja tu kuomba. "Dia babaako pambaf.. "
 

looo nimecheka mpaka machozi, mwehh, hizo burungutu ndio shs ngapi, usikute elfu 50-100 unaita burungutu.
 

Sijaoa mkuu. Huyo ni demu tu wakupita. Nnao wengi sasa.
 

Kani ye hapati utamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…