Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kwanini hawa watu hawakomi. Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy. Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu linakuja tu kuomba. "Dia babaako pambaf.. "
Na wewe siku moja m-text umwambie Dia, nina hamu sana ya TiGo, sasa utanisaidiaje?Hhaaaa uwiiii mi sasa ivi nimetoka kuombwa elfu 80 na .......wa pale shkamoo pesa
Hhaaaa uwiiii mi sasa ivi nimetoka kuombwa elfu 80 na .......wa pale shkamoo pesa
si mchezotukana matusi yote, lakini mwisho wa siku utazama kwenye pochi... Na kama kumekauka utakopa...
This thing between women's legs is a laana.
Hivi kwanini hawa watu hawakomi. Kila siku kazi yao kupiga mizinga. Hivi kila mtu angekua akihitaji hela anaomba tu maisha si yangekuwa easy. Watu tunapiga hustling za kufa mtu then jitu linakuja tu kuomba. "Dia babaako pambaf.. "
Mi mara ya kwanza kabisa kumpa mwanamke ela nilimpa sh 2000. Iliniuma sana maana nilikuwa nimepewa pocket money 5000, nimeshatumia 1500 na nilipotoa hiyo elfu 2 ikabaki 1500 ambayo nilitakiwa kuibajeti hadi shule itakapofungwa miezi 5 ijayo! Niliteseka sana ile term maana hata 1500 ilikuwa natumia naye tena:angry:
Nililaani sana na nikajiapiza sitakaa nihonge mwanamke... Pamoja na kujiapiza kote, ukiniambia saa hizi eti ndo natoa viburungutu.... kweli hii ni laana...
Tuacheni utani,, wanaume wa siku hizi tunajitia aibu,,, kweli dada zangu wana kazi,, sasa mpenzi wako amekwama elfu 80 tu kumsaidia inshu,,, kweli nimeamini wanaume wanaisha,,
poleni sana dada zangu,,, kumpa mpenzi wako hela sio kosa muhimu awe na sababu inayoeleweka anaomba kwa ajili ya nini...
Elfu themanini tu mtu unatoka povu hadi kumtusi mtu jamii forums,, tena ameomba ubavu wako mnaolala wote kama mlivyozaliwa,, ukiumwa yeye ndo anakuuguza, ukiwa na stress ye ndo anakupa furaha,,,
Kusema kweli mmetudhalilisha jinsia me kwa hii post