si nimetoa mfano hao hapo juu wa my bro, ndio mana nasema kwa namna moja au nyingine, hata yeye alivyosomesha alihonga pia,si alikuwa anatoa fees na pocket money juu?
hakomi mtu wewe, kupiga/kupigwa mzinga haijaanza leo na wala haitaisha kesho......!!!!!!!ha ha ha am proud kuzaliwa wa kike mieeeeeeeeeeeeeeNna mademu kumi kama wewe sasa wote nikiwahonga hizo 80 si ntachekwa? Sorry kwa kukuaribia kitumbua chako ila hii thread imebidi niiweke ili mkome.
kudate watoto wa chuo kazi kweli kweli,hapa nimemnunulia baby wangu shati la pasaka laki na nusu
akifulia ninamtoa kiroho safi kama vipi
sasa huyu kaombwa elfu themaninin analia hapa ukimuomba vacation muende dubai si atakufa hapohapo?

wapo sana tu
tena mwanamme bahili anajua kupenda kishezi
hayo ni mapenzi gani yasiyokuwa na urafiki, yasiyokuwa na huruma wala kusaidiana na kukbebeana mizigo huku duniani?Khaaa!Ni sababu ipi inasababisha mtu aombe hela?
'
Kuna haja ya kila mtu kubaki na shida zake
'
Sitaki haja shilingi ya mwanamke hata kama ninalala mtaroni na yeye ni meneja wa Baclays bank!
'
Na yeye asiniambie chchote kuhusu hela
'
Kama atanipa atakua ametaka mwenyewe,siyo nimuombe,au nimkope tena kwa maandishi
'
Nikimpa nimetaka mwenyewe,sio aniombe,au anikope tena kwa maandishi
'
Mahusiano yako na mimi ni mapenzi tu!
Yaani hiki kizazi ni bahili ajabu... Hapa mwenyewe pasaka naenda kula na baby wangu,,, sio fast jet wala precision ticket hazigusiki za kesho lakini sijakata tamaaa lazima nikale pilau la baby wangu pasaka.... Wanaume wavivu ndo wanaogopa majukumu.... Yaani elfu 80 tu hiyo hela ya hotel usiku mmoja tu inawatoa mapovu,,,
hayo ni mapenzi gani yasiyokuwa na urafiki, yasiyokuwa na huruma wala kusaidiana na kukbebeana mizigo huku duniani?Khaaa!Ni sababu ipi inasababisha mtu aombe hela?
'
Kuna haja ya kila mtu kubaki na shida zake
'
Sitaki haja shilingi ya mwanamke hata kama ninalala mtaroni na yeye ni meneja wa Baclays bank!
'
Na yeye asiniambie chchote kuhusu hela
'
Kama atanipa atakua ametaka mwenyewe,siyo nimuombe,au nimkope tena kwa maandishi
'
Nikimpa nimetaka mwenyewe,sio aniombe,au anikope tena kwa maandishi
'
Mahusiano yako na mimi ni mapenzi tu!
Khaaa!Ni sababu ipi inasababisha mtu aombe hela?
'
Kuna haja ya kila mtu kubaki na shida zake
'
Sitaki haja shilingi ya mwanamke hata kama ninalala mtaroni na yeye ni meneja wa Baclays bank!
'
Na yeye asiniambie chchote kuhusu hela
'
Kama atanipa atakua ametaka mwenyewe,siyo nimuombe,au nimkope tena kwa maandishi
'
Nikimpa nimetaka mwenyewe,sio aniombe,au anikope tena kwa maandishi
'
Mahusiano yako na mimi ni mapenzi tu!
Hii ni aina ya ukahaba,mwanamke anaejitambua anawajibika kukidhi mahitaji yake,sio mpaka uhongwe!
Comments zako zina reflect what kind of a girl u 're,Ume jijengea mwanamke lazima apewewanakushikiaga bunduki?
ni lazima uwe na demu?
si utumie dia sabuni.....chapa lapa na hela zako za mawazo.
Hahahaahahahaah! umeapa lakini umerudi pale pale , unatoa mwenyewe bila kushikwa, chezea K wewe, utamu wake ukiambiwa uelezee huwezi unabaki tu Taaaaaaaaaaaaaamu!!!!!!!!!!!!!!!!!Mi mara ya kwanza kabisa kumpa mwanamke ela nilimpa sh 2000. Iliniuma sana maana nilikuwa nimepewa pocket money 5000, nimeshatumia 1500 na nilipotoa hiyo elfu 2 ikabaki 1500 ambayo nilitakiwa kuibajeti hadi shule itakapofungwa miezi 5 ijayo! Niliteseka sana ile term maana hata 1500 ilikuwa natumia naye tena:angry: Nililaani sana na nikajiapiza sitakaa nihonge mwanamke... Pamoja na kujiapiza kote, ukiniambia saa hizi eti ndo natoa viburungutu.... kweli hii ni laana...
hutaki unaacha! hivi wanaume mmelogwa au ni nini? yaani kumsaidia mpenzi wako ni jambo linaitaji katiba?Smile ,kama mwenzako ana uwezo si umkope tena kwa maandishi?
'
Kwanini upewe tu hela kama imeokotwa?
'
Hela gani ya kupewa pewa tu?
'
Hiyo tafsiri yako ya mapenzi umeitoa wapi?
Huwa kuna wakati nawaza... kuhonga na kusaidia kuna tofauti? Maana utakuwa binti sawa na mtu wako, but ukitaka anavyokupa unaweza kupata kwa wengine kwa 1/10 ya hela ambayo unampa wakati akiwa na shida kama ada n.k. Sometimes huna mzuka naye kiviiile, hata akijitoa poa tu, lakini akianza kukulilia shida, ukawaza mlokotoka, anaona ngoja tu utoe kama sadaka...
huna true loveMi nimeweka pending invoices 3,haki wangejua how much it bores wasingekuwa
wanapiga mizinga hawa viumbe,ptuuuu kuiga life style za kina mange...