we kijana tatizo ni nini sasa?si umpe NOTIFEKI kama jina lako!
Yani elfu 80 tu ndo unakuja kulia huku jf?wenzio tunahonga BMW na hatujali wala.
Hiviiiiii......kwambaaa....yani yani ...Ngoja kwanza.
Elfu 80 tu unakuja kuanzisha thread JF...are you serious!? Kabla hilo 'jitu' halijaja kukuomba, ni lazima ulianza kuliomba wewe...sa iweje we 'uombe' nawe 'ukiombwa' unakimbilia thread JF!? Grow up...
hii ni sauti ya mwanaume .......... likesTuacheni utani,, wanaume wa siku hizi tunajitia aibu,,, kweli dada zangu wana kazi,, sasa mpenzi wako amekwama elfu 80 tu kumsaidia inshu,,, kweli nimeamini wanaume wanaisha,,
poleni sana dada zangu,,, kumpa mpenzi wako hela sio kosa muhimu awe na sababu inayoeleweka anaomba kwa ajili ya nini...
Elfu themanini tu mtu unatoka povu hadi kumtusi mtu jamii forums,, tena ameomba ubavu wako mnaolala wote kama mlivyozaliwa,, ukiumwa yeye ndo anakuuguza, ukiwa na stress ye ndo anakupa furaha,,,
Kusema kweli mmetudhalilisha jinsia me kwa hii post
kha, wewe! umeshawahi kupenda? ni wako una future nae/unampenda kwa dhati? amepata ishu na 80elfu atakuwa dada poa? akipewa huko hamuishi kuja kulalama hapa ohhh hawajatullia, ohhh ahhh, hamuwatulizi, mbona mie sio ishu kwangu kukupa hiyo 80 ukihiitaji?
Ha ha ha ha ha wadada bwana....naona mmeishahalalisha kuhongwa...yaani mnaona kama ni haki yenu ya msingi kabisaaa
Ndo maana na sisi tushawafanya bidhaa-like,tunawapiga,tunawapa pesa,tunawamwaga.......ha ha ha hah ha
Yule anayeonesha kaupeo atleast(maana sidhani kama kuna mwenye upeo ndani yenu) ndo tunamuoa......
Maisha matamu sana usipoyakomplicate...
Tuendelee......
NB.Hii haiwahusu wanawake gfsonwin-like
hutaki unaacha! hivi wanaume mmelogwa au ni nini? yaani kumsaidia mpenzi wako ni jambo linaitaji katiba?
Kama unanipenda utaitoa tu hlf 80,000 kitu gani, hiyo si niyakuwekea mafuta tu kwenye gari
Tuacheni utani,, wanaume wa siku hizi tunajitia aibu,,, kweli dada zangu wana kazi,, sasa mpenzi wako amekwama elfu 80 tu kumsaidia inshu,,, kweli nimeamini wanaume wanaisha,,
poleni sana dada zangu,,, kumpa mpenzi wako hela sio kosa muhimu awe na sababu inayoeleweka anaomba kwa ajili ya nini...
Elfu themanini tu mtu unatoka povu hadi kumtusi mtu jamii forums,, tena ameomba ubavu wako mnaolala wote kama mlivyozaliwa,, ukiumwa yeye ndo anakuuguza, ukiwa na stress ye ndo anakupa furaha,,,
Kusema kweli mmetudhalilisha jinsia me kwa hii post
Unatafuta usifiwe wewe huna lolote!!unataka kujustfy mizinga??kama umelala amka kijana sio sifa!!hakuna ataekuona mjanja kwa kuchunwa sana!!Tuacheni utani,, wanaume wa siku hizi tunajitia aibu,,, kweli dada zangu wana kazi,, sasa mpenzi wako amekwama elfu 80 tu kumsaidia inshu,,, kweli nimeamini wanaume wanaisha,,
poleni sana dada zangu,,, kumpa mpenzi wako hela sio kosa muhimu awe na sababu inayoeleweka anaomba kwa ajili ya nini...
Unatafuta usifiwe wewe huna lolote!!unataka kujustfy mizinga??kama umelala amka kijana sio sifa!!hakuna ataekuona mjanja kwa kuchunwa sana!!
Elfu themanini tu mtu unatoka povu hadi kumtusi mtu jamii forums,, tena ameomba ubavu wako mnaolala wote kama mlivyozaliwa,, ukiumwa yeye ndo anakuuguza, ukiwa na stress ye ndo anakupa furaha,,,
Kusema kweli mmetudhalilisha jinsia me kwa hii post
Gari gani nkt niko na vitz
mafuta ya buku 20000 mamaliza wiki full kipupwe na wikend gambe kama
kenya...kama unataka kuhonga tafuta kibabu mim kazi yangu ni kupiga
mishe kukutoa wikend dinner kula mzigo nimemaliza..na kushine kama
mnyamwez kwenye vitz hahahaha
Toa ujinga wako,mwanaume asifiwi kuonga