"Dear nina shida na elfu 80 utansaidiaje" Duh! maisha yangekuwa easy kiasi hicho?

Tumia Revola. Kama unaomba k.. lazima ujue kuhudumia. Kwanza nachukia mwanaume wa kuombwa! Unapaswa uelewe wajibu wako.
 
Jamaa maneno yako mbn ya ajabu wa ubavuni ni mke wewe jamaa kama unatoa hela hiyo wewe sasa hivi hatuhongi kama vipi watfute vibabu..issue ni mapenzi na kupeana mapenzi tu habari za shida nin na nin peleka kwenu..uelewe demu sio mke..


"Hahahaha daaah mim ni muumin wa falsafa ya kutohonga lakini nimeshakubaliana na ukweli kwamba usipohonga unakimbiwa so mpango mzima akizingua nahamia kwengine mpaka kieleweke aisee"


Lyamber mbona hueleweki au unacheki upepo unakoelekea??????????
 
Last edited by a moderator:

Unafaa sana wewe.
 
"Hahahaha daaah mim ni muumin wa falsafa ya kutohonga lakini nimeshakubaliana na ukweli kwamba usipohonga unakimbiwa so mpango mzima akizingua nahamia kwengine mpaka kieleweke aisee"


mbona hueleweki au unacheki upepo unakoelekea??????????

Jinsia yko tafadhali.
 
Jinsia yko tafadhali.

kama Evelyn ni jina la kiume basi ujue mi ni kidume!!!!!!!!!

hapo kwenye hiyo post nimeeka quotation mark " " hayo maneno kaandika Lyamber post namba 3 kwenye thread ya Notifeki kuhonga ni hulka ya vibabu vijana hatuhongi ng'o

ndo nimemuuliza mbona haeleweki.....nadhani umenipata.
 
Last edited by a moderator:

Ila mkuu kuna wengine wamezid,yaan mmeanza tu kufahamiana na hela tayar kakuomba!wengine hata hamjawah ongelea issue za kugegedana,yeye tayari kashaomba hela!n in reality unakuta hata rohoni huna mawazo naye..ooh I am broke,can u lend me 200,000 hapo ooh,my laptop is this n that plz buy me a new Laptop!etc! I hate dependent women wanaotanguliza matatizo yao mbele yaan hata hamna any love related issues!
I always admire independent women! Big up sana kwa wewe mdada unayejijua ni independent! N to those wanaodhan their job is to snatch men's money,wake up,u need to be independent,heshima yako itapanda zaidi!
 
Hahahaahahahaahah! umenifanya nicheke sana, yaani pesa hiyo kidogo sana nafikiri ni ya perfume na Pedy .

Hata perfume haitoshi kwa sababu perfume nzuri iliyotulia harufu inaanzia laki na ishini
 
Mtu hujamwita wala hujamlazimisha akutongoze, bali manyege yake ndiyo yamemtuma. Sasa iweje akitakiwa awajibike analalama mpaka JF? Koma kutongoza tongoza kama utapigwa mizinga.

Sasa manyege yanahusiana vipi na Pesa?? mie nimekutongoza ili nipige mikasi then nisepe afu we unaleta usista du wako hapa!! pambafyyyyyyy....ndio maana mimi nshaona vingi vinavyopiga mizinga ni vile vi-sista du fulani vinavyoigiza sinema za hollywood katika maisha halisia...na mara nyingi hivi vi-kuku vya kizungu kukimbia huwa haviwezi ila kula pumba na mshudu vinapenda kweli!!! mie bora njichukulie sabuni yangu mche wa buku 2500...kila siku kimoja maisha yanasonga.
 

Mhhhh my Smile yaan una maana kumpa penzi mpenzio ni kutumika mwili wako?kwani wewe husikii utamu?
I agree kusaidiana ndo mtindo wa maisha,bt sio mambo ya kila siku uambiwe I am broke! I guess mleta mada ana-maanisha hawa ambao they think kazi ya 1 ya BF ni kuhonga!kama kweli ni mpenz wako as mpenz,why ulalamike ukimsaidia?mbona ndo inavotakiwa na ndo U-gentlemen jamani!
 
Last edited by a moderator:
 

Hapa umenena mkuu unajua wasichana wengi wa kibongo wanapenda kuishi maisha ya kwenye movie ilihali pesa haiwaruhusu kufanya wanayoyataka ndo maana mara nyingi utawakuta wanalia njaa hapa mjini hebu fikiria mtu una uhusiano nae hata wiki moja haijapita kashaumwa zaidi ya mara 3 na hizo zote anapiga mizinga. Mbaya zaidi washajiwekea hiyo system na ni weakness kubwa sana kwa wanawake wengi
 
kuna m-zombie uliniambia kuwa una shida ya kilo 3 fasta,nitafuta na namba yake ili kila mara akinitafuta nimuulize 'Wewe nani Tena?'
 
nyambafuuuuuuuu kama hela huna sepaaaaa sasa humu jf unatukana wanajamvi au? hahahahaaaaaaaa sipati picha unapoombwa hela unasema chukua honey kwenye pochi au unapewa ATM card then unaanza kujuta kwani unamwogopa cukatae kama vip, respect kwa wadada hawa jamaa mbele yetu ni mabubu.
 
shangaa ss..ukiwa na mwenzi mkusaidiana muhim..ata mwanaume kuna siku aneza kwama alaf msichana akasaidia..ndo maana ya kua na mwenzi
si ndio hawa hawa wanaoleta thread za kulialia humu ndani wanasalitiwa na madem zao...maana elfu 80 tu umekuja JF.. akikwambia umlipie kodi si utakwenda kushtak polisi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…