Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Kama watu usiowajua tu debate zao hapa JF zinakushinda hadi unawablock utawezana na Makonda?

Evolution yako haijakamilika we mjinga usitake usiyoyaweza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]you'll wipe the floor with him nimeipenda hiyo
 
Wewe ni agent wa Bashite?

Mimi jina langu naitwa Nzagamba.
Mimi si agent, ila naona kama mtu asiyejulikana hata jina lake kwa uhakika kusema anataka mdahalo na mtu anayejulikana kuna mizani fulani ya kuweka mambo sawa inakuwa haijatimia.

Inabidi wote wawili wajulikane ili tuende kwenye mdahalo na level playing field.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…