Debate challenge: Nyani Ngabu vs Paul Makonda!

Epuka mdahalo na hao,

Unaweza kufanya kitendo ambacho hujawahi tarajia.
 
Reactions: 511
Kwa Elimu gani aliyonayo Bashite mpaka aelewe maana ya global geopolitics![emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
 
Mdahalo ungepangwa tatizo mkuu huna influence na umaarufu kama Paul Makonda !!
Hatuna shaka na uwezo wako ,
Bashite ana influence na umaarufu kwako na familia yako na watu wenye akili kama zako.... For majority of us, with sound minds, Bashite is infamous!
 
Mdahalo ungepangwa tatizo mkuu huna influence na umaarufu kama Paul Makonda !!
Hatuna shaka na uwezo wako ,
Hata Amber Ruti aliwahi kuwa maarufu kushinda Bashite kipindi fulani kwahiyo haiondoi objectivity ya mdahalo.

Mdahalo sio umaarufu bali tunataka kusikia vinavyotoka kichwani kupitia mdomoni.
 
Kwa shule yake atakuelewa kweli?
 
Mnao mtetea Mwenezi embu mtuambie amewahi kutetea jambo gani kwa hoja? Hata tuone uwezo wake wa kupanga na kupangua hoja za masuala nyeti.
Mimi namfahamu kwa matukio tuu kama kupanda farasi, baiskeli, nk... ila sijawahi kumsikia akijadili masuala nyeti ya nchi hii hata mara moja. Mwenye reference atusaidie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…