Debate: Kuajiriwa Vs Kujiajiri

Debate: Kuajiriwa Vs Kujiajiri

Rosicky

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
1,202
Reaction score
2,045
Good wish to all

Moja ya definition ya maisha ni mapambano na moja ya definition ya mafanikio ni ushindi,

Nilikuwa natafakari kitu nikasema ngoja nishare na home of great thinker. Dunia ya sasa watu wengi sana tunahimizwa kujiajiri hasa kipindi hiki cha tatizo la kidunia la ajira.

Hoja yangu, wapo watu wameajiriwa serikalini na sekta binafsi na wanalipwa mshahara mzuri tu may be 3m ambao kwa tz unaweza ukaishi vizuri sana wanahimizwa wajiajiri ambapo kwenye upande wa kujiajiri ni biashara chache sana zinaweza kukupa pato hilo kwa mwezi kama faida na tena sio uhakika. Na kwa nn mtu akiamua kuajiriwa na akatumia sehemu ya kipato chake kujiajiri wengi wao huwa wanapitwa mafanikio na watu waliocha ajira na wakajiajiri completely. Kuna siri gani katika ulimwengu wa kujiajiri ambao unamtaka mhusika awe direct involve kwenye hicho alichojiajiri na mafanikio yake.

Au kujiajiri ni overarated?
Au kuajiriwa ni underated? or it depend with month salary?
Kuna siri gani iliyojificha nyuma ya kujiajiri ambayo ni msingi wa mafanikio. Kuna mtu aliacha kazi yenye mshahara wa 6m plus bonus akaenda kujiajiri.
Je mishahara ya kwa mwezi na faida za kwenye biashara zote zikiwa sawa nini kitatokea Nani atakuwa amewin na nani atakuwa amelose.
Mlioacha kazi na mkajiajiri tupeni hizo siri na sisi tufanikiwe.

Help me guyz
 
Elimu ni msingi wa mambo mengi muhimu, japo kuna watakaosema huhitaji elimu kuwa mfanya biashara lakini mifano hai niliyonayo, wafanya biashara wakubwa duniani kama Bill Gate na Microsoft, Marck Zuckerbergs na Facebook walipata mawazo ya biashara wakiwa ni wanafunzi wa elimu ya juu. Elimu yetu ni kinadharia sana kuliko vitendo.

Kijana aliyeanzisha New Convert Garden Soup, alikua ni mwanafunzi wa Biashara katika chuo kikuu cha Oxford. Hii ilikua project ya shule aliyopewa akiwa ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu.
Tuangalie kwanza ufundishaji wa mitaala yetu ni wapi tunakosea.
 
Kijana aliyeanzisha New Concert Garden Soup, alikua ni mwanafunzi wa Biashara katika chuo kikuu cha Oxford. Hii ilikua project ya shule aliyopewa akiwa ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu.
Tuangalie kwanza ufundishaji wa mitaala yetu ni wapi tunakosea.
Sasa kama elimu ni msingi kuwa mfanyabiashara mbona wapo watu wengi tu hawana elimu na ni wafanyabiashara waliofanikiwa.
Mbona hata hao wasomi wa biashara bado hatuwaoni kwenye kurasa za mbele za mafanikio.

Moja ya speech ya Steve Jobs ni kuwa anajuta kusoma college kwani imempotezea muda so it means haijamsaidia kitu.

Ni mfumo upi wa elimu utumike uzalishe wajasiriamali??
Nachojua ni kuwa mfumo wetu wa elimu tumeuchukua kwa hao waliofanikiwa so whats wrong??
 
mjadala mzuri lakn wachangiaji wako kwenye zile nyuzi zetu pemdwa za ulishwahi kula tunda kimasiara... huku hawana habar nako..
Basi ndo maana mafanikio ni kwa wachache tu
 
Kuajiriwa ni Hulka ya mtu muoga na mvivu kimwili na kiakili na kujiajiri ni Hulka ya mtu mchapakazi na mwenye uwezo mkubwa kiakili na uthubutu wa kuona na kuzitumia fursa ipasavyo.. PERIOD!!
Noted
 
Si kila m2 anaweza kujiongoza katika utafutaji wa pesa. wewe unaweza kuwa sucsefully katika busness ukamshauri mwingine afanye the same busness lakini akafeli vibaya kabisa. ninini kipo nyuma ya pazia katika hili?

Ni hivi ufanyaji wa biashara na kufanikiwa ina depend na asili(nature) ya mtu katika kuendana na mazingira ya biashara na kuziona fursa mbalimbali hii huwa kichwani mwa mtu mmoja mmoja na haitakiwi kabisa kuambiwa ndipo ukaifanyee, uwezekano wa kufeli hapa unakuwa mkubwa maana wewe si mgunduzi wa njia unayoipitia.

Halafu cha kunote sio kila mtu kaja duniani na anaweza kuwa tajiri wa kujitengenezea pesa zake mwenyewe maswala ya utajiri wa pesa ya kutafuta kwa kufanya biashara mbalimbali ni asili ya mtu
 
Mfanyabiashara anayepata Faida TZS 1,500,000/- na mwajiriwa anayepata mshahara TZS 1,500,000/- hawana tofauti ya mapato kwa mwezi. Issue ni matumizi ya Faida wanayopata kwa mwezi. Hilo Moja!

Jambo la pili namna kila mmoja anajiongeza kujazia kipato. Mfanyabiashara kukuza biashara yake na mwajiriwa kuwa na kipato Cha ziada. Then tunarejea pale pale, matumizi yakoje?

Ima tuweke Hili jedwali yaishe!
______&&&&&:&&Kipato. Matumizi
Mfanyabiashara
Mwajiriwa
 
Mfanyabiashara anayepata Faida TZS 1,500,000/- na mwajiriwa anayepata mshahara TZS 1,500,000/- hawana tofauti ya mapato. Issue ni matumizi ya Faida wanayopata kwa mwezi. Hilo Moja!

Jambo la pili namna Lila mmoja anajiongeza kujazia kipato. Mfanyabiashara kukuza biashara yake na mwajiriwa kuwa na kipato Cha ziada. Then tunarejea pale pale, matumizi yakoje?

Ima tuweke Hili jedwali yaishe!
Kipato. Matumizi
Mfanyabiashara
Mwajiriwa
Kumbuka hili

Ukifa umeajiriwa watoto wako hawatarithi ajira yako ila ukifa una biashara watoto wako watarithi biashara zako.
 
Good wish to all

Moja ya definition ya maisha ni mapambano na moja ya definition ya mafanikio ni ushindi,

Nilikuwa natafakari kitu nikasema ngoja nishare na home of great thinker. Dunia ya sasa watu wengi sana tunahimizwa kujiajiri hasa kipindi hiki cha tatizo la kidunia la ajira.

Hoja yangu, wapo watu wameajiriwa serikalini na sekta binafsi na wanalipwa mshahara mzuri tu may be 3m ambao kwa tz unaweza ukaishi vizuri sana wanahimizwa wajiajiri ambapo kwenye upande wa kujiajiri ni biashara chache sana zinaweza kukupa pato hilo kwa mwezi kama faida na tena sio uhakika. Na kwa nn mtu akiamua kuajiriwa na akatumia sehemu ya kipato chake kujiajiri wengi wao huwa wanapitwa mafanikio na watu waliocha ajira na wakajiajiri completely. Kuna siri gani katika ulimwengu wa kujiajiri ambao unamtaka mhusika awe direct involve kwenye hicho alichojiajiri na mafanikio yake.

Au kujiajiri ni overarated?
Au kuajiriwa ni underated? or it depend with month salary?
Kuna siri gani iliyojificha nyuma ya kujiajiri ambayo ni msingi wa mafanikio. Kuna mtu aliacha kazi yenye mshahara wa 6m plus bonus akaenda kujiajiri.
Je mishahara ya kwa mwezi na faida za kwenye biashara zote zikiwa sawa nini kitatokea Nani atakuwa amewin na nani atakuwa amelose.
Mlioacha kazi na mkajiajiri tupeni hizo siri na sisi tufanikiwe.

Help me guyz
Kujiajiri haijalishi umeajiriwa , lakini kwa swala la muda mi ningependekeza kujiajiri ili biashara ikuwe uajiri wengine. kama una mpango biashara bora na mtaji.
 
kujiajiri haijalishi umeajiriwa , lakini kwa swala la muda mi ningependekeza kujiajiri ili biashara ikuwe uajiri wengine. kama una mpango biashara bora na mtaji.
Point yako sijaelewa mkuu ebu iweke vizuri
 
Point yako sijaelewa mkuu ebu iweke vizuri
yani unaweza ukawa umeajiriwa ila wewe ni mjasiriamali sasa hapo kuna swala la muda kujigawa kwenye kazi mbili ndio mana mimi nikasema bora ni kujiajiri ili uajiri wegine ,maelezo mazuri zaidi ya hapo sina
 
Huhitaji elimu kuwa mfanyabiashara lakini ukiwa na elimu mafanikio yako kibiashara yanaweza kabisa kuwa makubwa kuliko yule asiye na elimu. Wote hawa mwenye elimu na asiye na elimu wanahitaji kuwa na MTAJI na hili ni tatizo kubwa sana.

Utawasikia wanasiasa UCHWARA wakidai kuweni WABUNIFU ili MJIAJIRI lakini hawafafanui kuhusu huo ubunifu huku wakijua tatizo kubwa ni MITAJI ya kuanzia biashara.

Back
Top Bottom