Debate: Kuajiriwa Vs Kujiajiri

Debate: Kuajiriwa Vs Kujiajiri

Kumbuka hili

Ukifa umeajiriwa watoto wako hawatarithi ajira yako ila ukifa una biashara watoto wako watarithi biashara zako.
Ishu siyo kurithi ishu Ni je wataeza kuendeleza hyo biashara ktk misingi ileile uliyoieka na kuhakikisha wanamaintain faida uliyokua unaitengeneza biashara nyngi Sana za kurithishwa zmekua na changamoto kubwa.
 
Ishu siyo kurithi ishu Ni je wataeza kuendeleza hyo biashara ktk misingi ileile uliyoieka na kuhakikisha wanamaintain faida uliyokua unaitengeneza biashara nyngi Sana za kurithishwa zmekua na changamoto kubwa.
Sema biashara za kitanzania ndio ngumu kurith maaana wazazi hawaandai succession plan ya kuendesha biashara baada ya wao kufa .


Unajua baishara ngapi za wahindi zimekufa baada ya wao kufa ?
 
Corporate haina share holders?????
Uko sahihi ndio hao tunaowasema walio wengi wanaowekeza kwenye masoko ya hisa usishangae ni wafanyakazi wa kawaida sana ambao hiyo ni subsidiary Income yao pia wamaweza kuwa wengi sana na ni International mitindo hii ya makampuni CEO ana commitment kubwa kuliko wamiliki mmoja mmoja na ndio maana wanalipwa vizuri sana (I stand to be corrected)
 
Ningependa kujibu swali mtu alie ajiliwa ni sawa na muwa utamu ukiisha unatupa maganda so hata kama umeajiliwa unalipwa kwa mwezi m6 plus changamoto inakuja pale ukisha acha kazi huto weza kufanya biashara coz biashara ina faida ndogo na inataka mtu mvumilivu coz mfanya biashara yuko radhi kukaaa miezi6 akasubiri Tsh200,000 kwa miezi 6 wakati kipindi umeajiliwa ulikua kwa mwezi una uwakika Tsh milion 6 so hapo ndo utaona umuhimu wa kujiajiri mapema kuliko kuajiriwa alafu uje ujiajiri ukisha acha kazi hapo lazima ufilisike.so ni vema kujiajiri mapema kuliko kuajiriwa.
 
Kwamfano umeajiriwa alafu gafla mwajiri wako akakufukuza kazi utaishije ??
 
Kwa maisha ya kibongo kuwa tajiri ni ndoto ambayo wengi wanakufa nayo

Tuliowengi biashara tunazofanya ni uchuuzi na wengi mtaji ni changamoto

Walioajiriwa wengi take home ni pesa za sigara kuwa na akiba tu ndani ni changamoto je atapata mtaji wa kuweka kwenye side hustle?

Binafsi nipo kwenye dilema bado naendelea kusoma michango ya wadau
 
Back
Top Bottom