Ze_Papirii
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 558
- 1,117
Ishu siyo kurithi ishu Ni je wataeza kuendeleza hyo biashara ktk misingi ileile uliyoieka na kuhakikisha wanamaintain faida uliyokua unaitengeneza biashara nyngi Sana za kurithishwa zmekua na changamoto kubwa.Kumbuka hili
Ukifa umeajiriwa watoto wako hawatarithi ajira yako ila ukifa una biashara watoto wako watarithi biashara zako.