Ze_Papirii
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 558
- 1,117
Ishu siyo kurithi ishu Ni je wataeza kuendeleza hyo biashara ktk misingi ileile uliyoieka na kuhakikisha wanamaintain faida uliyokua unaitengeneza biashara nyngi Sana za kurithishwa zmekua na changamoto kubwa.Kumbuka hili
Ukifa umeajiriwa watoto wako hawatarithi ajira yako ila ukifa una biashara watoto wako watarithi biashara zako.
Sema biashara za kitanzania ndio ngumu kurith maaana wazazi hawaandai succession plan ya kuendesha biashara baada ya wao kufa .Ishu siyo kurithi ishu Ni je wataeza kuendeleza hyo biashara ktk misingi ileile uliyoieka na kuhakikisha wanamaintain faida uliyokua unaitengeneza biashara nyngi Sana za kurithishwa zmekua na changamoto kubwa.
Corporate haina share holders?????Safari com ni corporate mzee
Jamii wakati mwingine inadanganywa sana na hawa watu wanaitwa "Motivation speakers"
Uko sahihi ndio hao tunaowasema walio wengi wanaowekeza kwenye masoko ya hisa usishangae ni wafanyakazi wa kawaida sana ambao hiyo ni subsidiary Income yao pia wamaweza kuwa wengi sana na ni International mitindo hii ya makampuni CEO ana commitment kubwa kuliko wamiliki mmoja mmoja na ndio maana wanalipwa vizuri sana (I stand to be corrected)Corporate haina share holders?????
Unaishi kama ulivokua unaishi zamani kabla ya kaziKwamfano umeajiriwa alafu gafla mwajiri wako akakufukuza kazi utaishije ??