Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ni mwajiriwa ila ninawekeza kwenye kilimo (miti ya matunda)Vitabu vya aina gani kwa mfano
mishahara ina limit ila mapato ya kujiajiri hayana limit.Kama hakuna tofauti ya kuajiriwa na kujiajiri kwa nini watu wengi wenye mafanikio makubwa ni walio upande wa kujiajiri???
Sasa hapo ndo utofauti ulipo tunasoma yaliyofanywa na yanayofanywa na watu wenye uchumi mkubwa na wanasoma maarifa walionayo kwenye mazingira na wamendeleza wao wenyewe kutoka vizaz na vizaz. Sasa waafrica tunashupaza shingo kujaziana mitahara nakati hata uchumi wakufanyia demo darasani hamna.Ivi unapokuwa unasema elimu yetu haitufundishi ku seize opportunities unakuwa una compare na elimu ipi??? maana sisi mfumo wetu wa elimu tumeucopy kutoka kwenye developed country mbona wao wana move forwad
may be sijakuelewa!!!!
Hongera kwa muamuzi yako mkuu,natumai umeshafika mbali sasa hivi.Pressure ya wazazi ndo inaua ndoto za vijana wengi asikwambie mtu , nilipomwambia mama nataka nitimke nikalianzishe... alipinga kwel akawa anahaha kunitaftia kaz , akipata mshahara ni 300k nikamwambia mama mshahara huo ni Sawa na almost 3mil per year , wakat juzi kat nimefanya project ya kilimo ndani ya miez 4 nikascore 4 million , aisee ilibidi nitimkie DSM .... Wazaz wanapenda Sana watoto wao wawe na kazi wakiulizwa kitaa waseme mwanangu kaajiriwa sehemu fulan kwao ni prestige but kibongo bongo ajira nyingi ni total disaster na ni acceptable poverty line , ... You look smart but nothing you get
Kujiajiri inahtaj ufanye maamuzi magumu , and you must think beyond the reality , yaani unaforce kibabe ndo unatoboa
Tena waliojiajiri wanacheza sebene hasa[emoji848]Awamu hii aliyejiajiri na aliyeajiriwa wote wanacheza mayenu kwenye sinia moja tu.
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Horrible life[emoji36][emoji36]Huwez tajirika Kwa kuajiriwa , labda uwe mwizi kwenye kampuni au serikalini, sababu mda wako unakuwa limited , hata kama Una mtaji wa kujiajiri na bado umeajiriwa huwez toboa bado...shart uteme kazi ili udili effectively na kujiajiri kwako ....
Changamoto ya kujiajiri ni mtaji na akli timamu , wateja wapo dunia nzima ni wateja wako.. ni wewe Tu kuizungusha akli na kutoboka huku na kule , kitu ambacho huwez fanya ukiwa umeajiriwa , kwenye kuajiriwa utadamka sa 10 kuwahi follen na kurudi home sa nne usku , mpak unakufa what a shit
Utajirike kwa bajaj? Like seriously!kwa io kama nimeajiriwa na mm nikaajiri vijana sita wa bajaji je bado sitatajirika??
Congrats![emoji122][emoji122]Utajirike Kwa bajaji au Hela ya Kula ? Bado katika mazingira hayo kuwamanage hao vijana ni full stress ukiwa kwenye kazi ya kuajiriwa , mana lazima ukimbizane nao non stop ndo utaiona sent....uataambiwa mara bajaji imekamatwa , mara hv na vile na bla bla kibao wakat huo upo job full time ......
Kiufupi Tu Kwa mtu aliyeajiriwa naona biashara kidog inayoweza kumpush ni ununuzi wa hisa pamoja na real estate .... Lakn hzi mishe zinazohtaji kaa chonjo 24hrs ndo utoboe nakuapia huchomoki
Unanipa mzuka we jamaa!Pressure ya wazazi ndo inaua ndoto za vijana wengi asikwambie mtu , nilipomwambia mama nataka nitimke nikalianzishe... alipinga kwel akawa anahaha kunitaftia kaz , akipata mshahara ni 300k nikamwambia mama mshahara huo ni Sawa na almost 3mil per year , wakat juzi kat nimefanya project ya kilimo ndani ya miez 4 nikascore 4 million , aisee ilibidi nitimkie DSM .... Wazaz wanapenda Sana watoto wao wawe na kazi wakiulizwa kitaa waseme mwanangu kaajiriwa sehemu fulan kwao ni prestige but kibongo bongo ajira nyingi ni total disaster na ni acceptable poverty line , ... You look smart but nothing you get
Kujiajiri inahtaj ufanye maamuzi magumu , and you must think beyond the reality , yaani unaforce kibabe ndo unatoboa
Very true[emoji848]watumishi wa serikali miaka mitano hawana annual increament. wameongezewa makato ya bodi ya mkopo kutoka 8% mpaka 15%. Bora mfanyabiashara anaweza kwa namna flani kukwepa kodi ila muajiriwa huwezi kukwepa kodi za serikali
Hayo mawazo ya kizee nakwambia kijana mwenzanguvikubwa vinaletwa na vidogo au hujui hilo
Upo sahihi sana japo umesahau kuiinclude powerbank kutoka kwa wataalamu.Ajira inaweza kutumika kukupa mtaji kuanzisha mradi,cha msingi uwe makini katika kusimamia mradi ,tathmini ya Mara kwa mara ni muhimu kubuni njia mbalimbali kukuza mauzo na kuboresha bidhaa,matangazo ya bidhaa bila kuchoka vipeperushi ,business cards,feedback toka kwa wateja na kufanyia kazi maoni,maintain database ya wateja namba za simu,email nk,matumizi ya social media, bonu na offer kwa wateja,ndizo njia ninazo tumia kuzalisha faida ya 250,000/= kwa siku.
Jambo muhimu sana kuliko yote ni kuajiri mtu makini sana meneja wa mradi hakikisha unapata mda wa kutosha kumtathimini andaa machaguo mawili hadi mataa.
Tumia watu wenye elimu ya chini sana,darasa la saba au form 4
Hakuna maarifa yaliyofichwa kwenye kitabu mzee, kila siku nalipinga hili.Maarifa yamefichwa kwenye vitabu soma vitabu.
Maisha ni mtihani huwezi kumuonyeshea kila mtu majibu ya mtihani wako,wengine ni maadui wa mafanikio yako,kutunza siri ni siri ya mafanikioHuo sio uchoyo kweli mzee??