Deborah Fernandez ni mchezaji wa kawaida Sanaa, Simba Bado timu haijakaa vizuri tunajipa moyo tu

Atupokei ushauri wa motivation speaker things are change, Debora kuanzia benchi ni mbinu ya mwalimu kuisoma mechi dhidi ya mpinzani kwisha
 
Deborah anapenda kucheza na jukwaa akipata mpira lazima afanye uturn, pasi zake nyingi hazifiki inabidi afanye marekebisho Kama sio uharaka wa Camara alishatuchomesha.
 
Mchezaji akifanya vzr atapewa sifa zake, na pia akikosea akubali kukosolewa ili kuongeza juhudi....unataka tuongee kinafki kumsifia mchezaji wakati hafanyi vzr??, makosa mengi???, siishi kwenye ulimwengu huo mkuu
 
Simba inahusika vipi yanga kukandwa? Sisi tunafanya yetu mkuu na nyie fanyeni yenu😂
Kwani nyie saivi wimbo si ubaya ubwela kwamba mko vizuri kauli ambazo zimeibuka gafla baada ya yanga kupoteza match 2 wakati mwanzo mlikua mnasema kwamba mnajenga team.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…