Namuonea huruma wema kwasbb dai ni mwanaume na kiumri bado sn kutulia...ss yy mwanamke anataka kushindana na mwanaume anashangaa muda haurudi nyuma...dai ana uwezo wa kuoa ht miaka 10 ijayo yy ajiulize atakuwa wapi huo muda?
Daimond juu jamaniiii wema anatapatapa heheeee nawaombea zari na dai mfanikishe project na party yenu ifunikeeeeeeeeeee
Dai sukari kweliii wema rudi tu kwa Dai unaona zari anafaidi kirungu
Ht asirudi..mwache aendelee kutafunwa na mkongo...km kweli anampenda dai asingekubali kuhongwa bmw...tena aliifurahia kuliko murrano....ss huko uganda c anaenda kujipa strss tu...
Anataka aonje ya chamilion hhhhhhaaa
Dhinaa....
Heheee mambo
Ss tokeo lake kaenda kuopoa bonge la deeemuuu...alijua labda ataishia kwa cheap ladyz wa dar km kawa....kumbeeeeee ht hatukutegemea
Hahahahaha heti DJ
Mwl mbona siku hizi umekuwa na akili nyingi sana hadi nahisi zinamwagika
Ha ha ha mo nafundisha needle work[MENTION][/MENTION]Hahahaha
Mwl somo la Tezi jike hujuwai kufundisha!
Ndio mkuu.
Naona anaelekea kuwa fyatu kwa ajili ya penzi la mtoto w tandale ha ha ha alitishia kujamba kumbe anaumwa tumboMwl naomba ufungu siku 39 kumuombea wema! yani toto jinga sana hili litazidi kudhalilishwa kila Leo! alivyo kichwa maji anaweza kwenda kwenye party ya zari kuchungulia!
Tafadhali mpelekeni kwa kakobe!
Ooh wema kachoka kakongoroka mbona hilo BMW hamkuhongwa nyie msiochoka?? Ukweli kila mtu na nyota yake ...nyota ya Wema ni ya kula akiwa amelala. Analetewa kitandani. Utakataa kukichukua kisa ni cha bure?? Kwanza cha bure kitamuuuuuuuu hata mimi nakula cha bure hapa ila kwa kipindi maalumu. Lakini hata hivyo kazi anafanya kwani kule Airtel unadhani ni charity ile??
Dinazarde tena wewe unanivuruga ujue hehehe ntakupasuaaaaaaaaaaa sema tu nakuheshimu ujue. Kajala mzuri mbona aud hakupewa kadi na kodi ya nyumba ilitaka kumshinda juzi? Leo naandika tu full magazeti. Ntaandika na kujijibu mwenyeweMi nilikua natania tu wema mzuri kwelii
Dinazarde tena wewe unanivuruga ujue hehehe ntakupasuaaaaaaaaaaa sema tu nakuheshimu ujue. Kajala mzuri mbona aud hakupewa kadi na kodi ya nyumba ilitaka kumshinda juzi? Leo naandika tu full magazeti. Ntaandika na kujijibu mwenyewe
Mwanzoni alijifanya anapotezea mara ana like picture zile za zar na diamond walizokuwa wakipiga wamebusiana. Sasa ivi naona imekuwa ngumu kumesaa